Nimefanya utafiti nikagundua serekali imepiga marufuku mifuko ya plastic maafuku kama "Rambo" au "malboro" lakini kiuhalisia kama hatujatatua tatizo.
Iliyopo mtaani ambayo tunaiita "Vifungashio" ila ukweli ni plastic iliyoboreshwa. Inakua disposed kwa kiasi flan lakini haimaanishi kuwa madhara kwa mazingira hayapo. Jaribu kuichoma utagundua ni plastic iliyoboreshwa
Serikali iwe makini maana bado kuna hati hati ya mifuko ya plastic kurudi kwa namna nyingine.