Je, mifuko iliyopo mtaani sio ya plastiki?

Je, mifuko iliyopo mtaani sio ya plastiki?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Nimefanya utafiti nikagundua serekali imepiga marufuku mifuko ya plastic maafuku kama "Rambo" au "malboro" lakini kiuhalisia kama hatujatatua tatizo.

Iliyopo mtaani ambayo tunaiita "Vifungashio" ila ukweli ni plastic iliyoboreshwa. Inakua disposed kwa kiasi flan lakini haimaanishi kuwa madhara kwa mazingira hayapo. Jaribu kuichoma utagundua ni plastic iliyoboreshwa

Serikali iwe makini maana bado kuna hati hati ya mifuko ya plastic kurudi kwa namna nyingine.
 
Ni plastic ambayo unaweza ku-recycle.
Huwezi ondoa matumizi ya Plastic kabisa, haiwezekani.
Iliyopigwa marufuku ilikua huwezi kuifanyia recycle??
 
Back
Top Bottom