Tetesi: Je, mifumo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inachezewa?

Habari Watanzania,

Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.

Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.

Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.

Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.

Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.

Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.

Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.

Sisi wateja tunapata changamoto sana.

SWALI LA MSINGI NI HILI;

Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?

Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?

Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!

Asante.
Watu wanarudisha pesa zao za wizi walizonyang'anywa na bwana yule.

Nchi inahitaji kuokolewa hii
 
Eleza wewe kinachoendelea mbona unazunguka mzee, we si unajua? Eleza hapa watu wajue sasa. Huna unalojua kilaza wewe, unakaa kuweka lawama na akili za kijinga kudhani watu wanaiibia serikali.
Basi kama hujui, hakuna hiyo loophole ya kulipia mannually, acha chuki za kijinga kwa taasisi fulani kisa njaa zako.

Nakupa Mfano, unaweza kuprint leseni ya gari ya Mtu bila kulipia pesa??

Unawezaje kutoka Gari kwenye mfumo bila kulipia pesa au hujui unalozungumza??

Acha kujaza mashudu humu jukwaani.
Mkuu wangu kwenye hoja za namna hii jitahidi kuja na fact zinazosaidia kupata majibu au zinazothibitisha uomgo wa mtoa mada.

Hizi aya zako hazina tofauti na kujipendekeza ama kufunika tatizo wakati lipo
 
Kikubwa tunatambua hii ni awamu ya walamba asali. Kuna wanaozima System, kuna wanye mirija kwenye tozo. Nchi imerudi hatua kumi nyuma😂
 
Mfumo wowote wa malipo kupitia mtandao ukiyumba/uki jam pesa ndefu sana inaweza kupigwa tena kwa muda mfupi mno
Hili jambo tayari ni 'clue' Je tuna kitengo imara cha cyber kitakachoweza ku 'handle hii ishu na kikatoka salama kwa namna zote? Maana ukienda kichwakichwa na ukakataa 'kupokea' ili ukae kimya kifuatacho ni kufungwa mdomo milele
 
Hiyo ni hali ya kawaida na sio mfumo huo tu, ni hali ya server kuwa down tu.
TRA ndio mkusanyaji mkuu wa fedha za Serikali. Ili TRA awe na ufanisi katika kazi yake hiyo ya kukusanya fedha za Serikali anatakiwa asikumbane na vikwazo vyovyote vile ambavyo vinaepukika.

Mambo ya Server kua down ni vitu ambavyo can be minimized if not eliminated kwa taasisi kama TRA. Hakuna server au system yoyote ambayo TRA watahitaji katika kufanya kazi zao wasipewe kwa unyeti wa taasisi hii. Yaan hakuna ubahili katika kuihudumia hii taasisi sababu inafanya kazi muhimu sana.

Kama control numbers hazitoki means delays kwenye collection zitatokea, na possible watu (wateja) wakapigwa demurage charges wakati ni kosa la serikali/TRA.

Hua tuna majibu mepesi sana kwenye maswala muhimu ndio maana kama nchi tuko hapa tulipo leo. Kwa uono wa wengine inawezekana wanaona hapa tuko juu lakini ki ukweli tulipaswa kua juu zaidi ya hapa.
 
Mfumo wowote wa malipo kupitia mtandao ukiyumba/uki jam pesa ndefu sana inaweza kupigwa tena kwa muda mfupi mno
Hili jambo tayari ni 'clue' Je tuna kitengo imara cha cyber kitakachoweza ku 'handle hii ishu na kikatoka salama kwa namna zote? Maana ukienda kichwakichwa na ukakataa 'kupokea' ili ukae kimya kifuatacho ni kufungwa mdomo milele
Kwani hao watu/kitengo cha cyber hawataki hela Mkuu?
 
Mkuu wangu kwenye hoja za namna hii jitahidi kuja na fact zinazosaidia kupata majibu au zinazothibitisha uomgo wa mtoa mada.

Hizi aya zako hazina tofauti na kujipendekeza ama kufunika tatizo wakati lipo
Nimempa Fact, aje yy aeleze lini alilipia Manually, huduma gani alilipia kwa staili hiyo?? Sio mtu anakurupuka anaeleza vitu havipo.

Mara ngapi mfumo unayumba na watu wanaambiwa tar za kusubmit ishu fulani zimesogezwa mbele, au hata faini huondolewa kwa bidhaa au huduma ambayo ilichelewa kwa siku hiyo ambayo ki uhalisia bila tatizo la mtandao ingeshatolewa??

Mtu anakuja hapa anasema watu wachunguze waje waseme hapa wakati yy ndio kaleta mada na ana uhakika wa huo wizi kwanini asiseme??

Umasikini ni shida sana, chuki zinamuandama mno.

Pale Bandarini, kuna taasisi zote muhimu katika kucontrol wizi, TISS wako pale kama waangalizi lkn juu ya hilo kuna wale TISS ambao nao ni waajiriwa wa TRA na TPA nao wapo humo ndani na wanaangalia mifumo hiyo hiyo muda wote.

Aje hapa aelezee lini alilipia huduma Manually bila control namba sio anaruka ruka na kutafuta huruma ya wachangiaji.

Vinginevyo aache umasikini wake.
 
SWALI LA MSINGI NI HILI;

Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?

Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?

Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!
Hoja za msingi sana hizi.

Na huu ndio Uzalendo kwa Taifa unaotakiwa, Hongera.
 
Maadamu unarejea ukizima we lipa mengine usihoji walio jikoni Wana njia nyingi za kushiba hata usizoziwazia
 
Nimempa Fact, aje yy aeleze lini alilipia Manually, huduma gani alilipia kwa staili hiyo?? Sio mtu anakurupuka anaeleza vitu havipo.

Mara ngapi mfumo unayumba na watu wanaambiwa tar za kusubmit ishu fulani zimesogezwa mbele, au hata faini huondolewa kwa bidhaa au huduma ambayo ilichelewa kwa siku hiyo ambayo ki uhalisia bila tatizo la mtandao ingeshatolewa??

Mtu anakuja hapa anasema watu wachunguze waje waseme hapa wakati yy ndio kaleta mada na ana uhakika wa huo wizi kwanini asiseme??

Umasikini ni shida sana, chuki zinamuandama mno.

Pale Bandarini, kuna taasisi zote muhimu katika kucontrol wizi, TISS wako pale kama waangalizi lkn juu ya hilo kuna wale TISS ambao nao ni waajiriwa wa TRA na TPA nao wapo humo ndani na wanaangalia mifumo hiyo hiyo muda wote.

Aje hapa aelezee lini alilipia huduma Manually bila control namba sio anaruka ruka na kutafuta huruma ya wachangiaji.

Vinginevyo aache umasikini wake.
Kwa hiyo suala la system kuwa down halipo na mtoa hoja amekosea au siyo?

Tatizo la msingi ni hilo
 
Habari Watanzania,

Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.

Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.

Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.

Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.

Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.

Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.

Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.

Sisi wateja tunapata changamoto sana.

SWALI LA MSINGI NI HILI;

Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?

Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?

Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!

Asante.
1662879044052.png
 
Ninachojua mtandao ukiwa chini serikali ndio mnufaika maanake kuna storage huwa inaongezeka. Na huwa haifutwi kisa mtandao.
 
Ww ndio msimamizi wa hiyo server nini, mbona umeongea kirahisi sana ili tuone ni jambo la kawaida?
Katika nchi zote nilizobahatikia kutembelea server za Tanzania pekee ndiyo huwa down kila wakati. Inaelezkea ziko tofauti kabisa na server a nchi nyingine.
 
Nimempa Fact, aje yy aeleze lini alilipia Manually, huduma gani alilipia kwa staili hiyo?? Sio mtu anakurupuka anaeleza vitu havipo.

Mara ngapi mfumo unayumba na watu wanaambiwa tar za kusubmit ishu fulani zimesogezwa mbele, au hata faini huondolewa kwa bidhaa au huduma ambayo ilichelewa kwa siku hiyo ambayo ki uhalisia bila tatizo la mtandao ingeshatolewa??

Mtu anakuja hapa anasema watu wachunguze waje waseme hapa wakati yy ndio kaleta mada na ana uhakika wa huo wizi kwanini asiseme??

Umasikini ni shida sana, chuki zinamuandama mno.

Pale Bandarini, kuna taasisi zote muhimu katika kucontrol wizi, TISS wako pale kama waangalizi lkn juu ya hilo kuna wale TISS ambao nao ni waajiriwa wa TRA na TPA nao wapo humo ndani na wanaangalia mifumo hiyo hiyo muda wote.

Aje hapa aelezee lini alilipia huduma Manually bila control namba sio anaruka ruka na kutafuta huruma ya wachangiaji.

Vinginevyo aache umasikini wake.
Crap. Wewe ni mmoja ya hao wezi. Kwa nini server ziwe down kwenye mambo nyeti? Unatakiwa uanzia hapa.
 
Back
Top Bottom