Je, mikataba anayosaini Rais Samia ina umuhimu gani kwa Watanzania na ina nini ndani yake?

Je, mikataba anayosaini Rais Samia ina umuhimu gani kwa Watanzania na ina nini ndani yake?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Mtu anayeteuwa marehemu atakuwa kasaini mikataba mingapi bila kuisoma? Maana Kila mahali anazunguka na kusaini mikataba je Inatusaidia Nini sisi kama watanzania maana hadi Leo Kuna shule wanafunzi wanakaa chini madawati hakuna.We are a failed nation!
 
Back
Top Bottom