Habari za muda huu waungwana?
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia.
Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka mtanisaidia kufahamu hili.
Asanteni.