Je, milioni 37, itamaliza katika mjengo wa aina hii?

Je, milioni 37, itamaliza katika mjengo wa aina hii?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
  • Public toilet/bathroom moja.
  • Uzio full not les than 400m².
  • System ya maji ya kisima na pump.
  • Umeme.
  • Gutters and tank
 
Ramani iko wap?

Unajengea tofali za kuchoma au cement.

Huo mjengo unataka ukilike kwa asilimia ngap?

Kifupi hiyo haitoshi lakini unaweza fanya vitu vya muhim ili ibaki sehem ya kumalizia pole pole.
 
Back
Top Bottom