Je, milioni 37, itamaliza katika mjengo wa aina hii?

Je, milioni 37, itamaliza katika mjengo wa aina hii?

Nyumba unajenga inategemea nyumba gani unayohitaji sababu nyingine hiyo 37m ni msingi tu nyingine unaweza kujenga na kupaua milango nk. Kutegemea na usimamizi. Some time usisikilize sana watu wengine wazuri wengine wabaya hata mafundi ukimpa anunue material atakupiga ukinunua mwenyewe ataiba auze. Kwenye ujenzi huwezi kuweka makadirio kamili inaweza pungua au kuongezeka cha muhimu fanya savea ya mahitaji yako japo kila siku bei inapanda
 
LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
  • Public toilet/bathroom moja.
  • Uzio full not les than 400m².
  • System ya maji ya kisima na pump.
  • Umeme.
  • Gutters and tank
Uzi wako unakosa Credibility hauna Raman hivyo ni ngumu kuEstimate gharama za hiyo nyumba.
Hatujajua Ukubwa wa Vyumba vyote including ukubwa wa Baraza ya Mbele na ya Jikon plus eneo la ujezi ni tambarare au linahitaj kuwekwa level kwanza ndipo Ujenzi uanze.


Kimsing Kaka Unatakiwa kuweka kila kitu Clear upate New ideas ili km ni Mkopo[emoji1][emoji2][emoji3] uchukuwe wakutosha kumaliza nyjmba yako
 
LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
  • Public toilet/bathroom moja.
  • Uzio full not les than 400m².
  • System ya maji ya kisima na pump.
  • Umeme.
  • Gutters and tank
Kwa mkoa, inaweza toboa...
Mana mawe ya kutosha,Udongo ndiyo tofali, Msitu wa mbao upo pembeni, mafundi bei chee,simenti yatumika kidogo...
 
Back
Top Bottom