Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Hahaahhha, bembea au sio.Utamaliza mkuu na kuweka electric fence, garden na kufunga bembea
Sure.Msingi wa nyumba za kanda ya ziwa ni mawe.
Ndio kinasaidia sana
Je kwa hapa Dar hasa Goba unaweza kumaliza?Utamaliza mkuu na kuweka electric fence, garden na kufunga bembea
Nitumie hiyo ramani inboxLOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
-Public toilet/bathroom moja
-Uzio full not les than 400m²
-System ya maji ya kisima na pump.
-Umeme
-Gutters and tank
Mfano wa quality ya nyumba ni picha ifuatayo:View attachment 2533765
Unamliza ishu itakuja ni nyumba ya ubora ganiJe kwa hapa Dar hasa Goba unaweza kumaliza?
Nakubaliana na wewe 100%. Ujenzi ni kama jini. Milioni hizo 37 ataishia katika kuezeka tu.Unaweza kuezeka tu zi zaidi ya hapo
Acha mzahaLOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
- Public toilet/bathroom moja.
- Uzio full not les than 400m².
- System ya maji ya kisima na pump.
- Umeme.
- Gutters and tank
Mzaha upi? Chambua kwa kina sio kufanya mipashoAcha mzaha
Kaka tafuta umbeaKaka tafuta hela