Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
-
- #21
Dah tujipange kwa kweliMi nilisimamia nyumba ya vyumba v3 kmoja ndo master choo Cha ndan seble na dining kila kitu pamoja na fining ilichukua mil.57...NB haikua na uzio
Uzi wako unakosa Credibility hauna Raman hivyo ni ngumu kuEstimate gharama za hiyo nyumba.LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
- Public toilet/bathroom moja.
- Uzio full not les than 400m².
- System ya maji ya kisima na pump.
- Umeme.
- Gutters and tank
NakubaliMi nilisimamia nyumba ya vyumba v3 kmoja ndo master choo Cha ndan seble na dining kila kitu pamoja na fining ilichukua mil.57...NB haikua na uzio
Kwa mkoa, inaweza toboa...LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
- Public toilet/bathroom moja.
- Uzio full not les than 400m².
- System ya maji ya kisima na pump.
- Umeme.
- Gutters and tank
Ilikuwa mkoa gani mkuu?Mi nilisimamia nyumba ya vyumba v3 kmoja ndo master choo Cha ndan seble na dining kila kitu pamoja na fining ilichukua mil.57...NB haikua na uzio