da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
- Thread starter
- #21
Mhhhh...Haya mambo haya. Hivi kutoa mimba ya mwezi mmoja gharama zake ni kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh...Haya mambo haya. Hivi kutoa mimba ya mwezi mmoja gharama zake ni kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha yani ndo unazidi kumchanganya na shule zinafunguliwa hahah[emoji23][emoji23]
Ha ha ha haaa kukamia kupo hujui maisha mafupi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwe mwanafunzi??!
Maelezo yake yanaonyesha alikuwa anatafuta mtoto kwa hamu,sio kwa kukamia huko mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala nilipitia tu kukupongeza kazi nzuri mkuu hakikisha WiFi anakula vizuri,apate na muda mwingi wa kupumzika
Daah shikamoo dinnah,si kwa komenti hii,ushauri wako nitaufanyia kaziWala nilipitia tu kukupongeza kazi nzuri mkuu hakikisha WiFi anakula vizuri,apate na muda mwingi wa kupumzika
Ngoja niandae nepi za ka aunt kangu mapemaa.
Sent using Jamii Forums mobile app