Je, mimba itakuwa imetoka?

Je, mimba itakuwa imetoka?

So mwanangu uliloweka?
Itakua bado imo, dah nenda kwa Dr andaa hela sasa
 
Naona munahidhinisha mauaji, wewe umezaliwa kwanini umuue mwenzio tena kiumbe chako mwenyewe. Hii ni dhambi na haitakuacha salama.
 
Mkuu acha uchuro hujui nipo katika situation gani hadi maamuzi yakafanyika
Naona munahidhinisha mauaji, wewe umezaliwa kwanini umuue mwenzio tena kiumbe chako mwenyewe. Hii ni dhambi na haitakuacha salama.
 
Back
Top Bottom