Je, mimi ndio mzembe au binti ndio kazingua?

Nampa vizuri labda niwe mgonjwa.
Hongera. Ila ninachojua kuna wakati wapenzi huwa wanaambiana kuwa leo siko sawa. Kwa sababu lile tendo linahitaji pia mtu awe na utayari kiakili na kihisia sio tu kama kuku jike anavyopandwa na jogoo
 
Wewe Mtanzania kweli??😳😳
πŸ˜‚
Hongera. Ila ninachojua kuna wakati wapenzi huwa wanaambiana kuwa leo siko sawa. Kwa sababu lile tendo linahitaji pia mtu awe na utayari kiakili na kihisia sio tu kama kuku jike anavyopandwa na jogoo
So wewe hukuwa tayari kumbe sio kwamba muda ulikubana kama ulivyobainisha hapo juu?
 
πŸ˜‚

So wewe hukuwa tayari kumbe sio kwamba muda ulikubana kama ulivyobainisha hapo juu?
Nilikuwa nakujibu upande wako kwamba wewe si umesema muda wowote jamaa akitaka unampa tunda, ndo nikasema wewe unakuwa kama kuku jike muda wowote unapandwa na jogoo hauna kujiandaa kiakili wala kihisia
 
Pole ulivokataa mwenzio kawaza mengi mayb hakuvutii?, kwa siku hio hakutokelezea kivile, may b anakasoro fulaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

By the way sisi other gender once ukizingua waga hatuna muda wa kulook back especially kama tukirequest ukakataa

tafta mwingine
 
Nilikuwa nakujibu upande wako kwamba wewe si umesema muda wowote jamaa akitaka unampa tunda, ndo nikasema wewe unakuwa kama kuku jike muda wowote unapandwa na jogoo hauna kujiandaa kiakili wala kihisia
Wewe kujiandaa kiakili inakuchukua miezi ama inakuaje? Mimi mpenzi wangu akianza tu kunipapasa ngoma inaamka sasa wewe unamaanisha kujiandaa kwa namna gani?
 
Nimekuelewa sana dada yangu. Katika hayo uliyoongea naamini huenda kuna baadhi ya vitu kama hivyo vilikuwa akilini mwake
 
uneta ustar kwenye mbususu wapare wenyewe ni mastar. hapo ilioshwa ikapelekwa kwa star mwingine muda huo huo akamalize hamu zake ki star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…