Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Lakini najiona kama nafit kwenye makundi yote mawili ..Binadamu yeyote lazima awepo kwenye mojawapo ya hayo makundi mawili,kwa mfano wewe mtoa huu uzi,nakuona wewe ni extrovert,kwa jinsi ulivyojieleza bilavl shaka wewe ni extrovert.
Yani ni mwepesi mno wa kusocialize napokua shule, nazoeana na watu haraka sana .. nakumbuka nilihamia shule nyingine nilipo ingia advance, siku ya pili tu kama new comer nikapewa na u class monitor .. mademu wa form 6 niliowakuta hapo nikawa nabonga nao Ile Ile mpaka kuna mmoja akaanza kuonesha dalili za kunitaka ila home nakua mpole kupindukia ..Unapenda jokes ukiwa na wana uliowazoea au haipo hivyo?
Kama nakuelewa hivii! ..We ni semi-extrovert mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]!
Anyways uko flexible mkuu sema tu una aibu flani na una watu na watu sio kila mtu unajichanganya nae! Ofcourse huo utakatifu wa nyumbani ni tabia ambayo baadhi ya watu wanayo na chanzo ni kutokutaka uonekane sio ila ukiwa mbali na home unafanya vimbwanga tu kama Side mnyamwezi
Umechambua vyema sana mkuu, binafsi ndivyo nilivyo ..Kuwa introvert haimaanishi huwezi kuchangamka mbele ya watu,sio mcheshi,au ni unakaa peke yako tu muda wote...hapana.Kuna social skills nyingi introverts wanaweza kujifunza na kuzimaster,au wengine wanazo tu.
Utofauti mkubwa wa introverts na extroverts ni namna hawa watu wanavyo'recharge'.Introverts anaweza akafanya yote,akacheka vizuri na watu,kuongea mbele ya watu,but atakapohisi kuhitaji kurecharge,kuregain energy(tuseme kupumzika)huyo utamkuta yupo peke yake.Anakuwa comfortable zaidi kuwa alone kuliko kuwa na watu.Extroverts ni kinyume chake.
Duh! wewe ni pro extrovertYani ni mwepesi mno wa kusocialize napokua shule, nazoeana na watu haraka sana .. nakumbuka nilihamia shule nyingine nilipo ingia advance, siku ya pili tu kama new comer nikapewa na u class monitor .. mademu wa form 6 niliowakuta hapo nikawa nabonga nao Ile Ile mpaka kuna mmoja akaanza kuonesha dalili za kunitaka ila home nakua mpole kupindukia ..
Inawezekana sababu hali hii imenianza baada ya kuhamia Uganda, mwanzoni sikua najua lugha zao na ndio sababu iliyokuwa inanifanya nisijichanganye na watu lakini cha kushangaza ata baada ya kuzijua bado nimeendelea na hali Ile Ile ndo maana ikanibidi niulize ..Kwa asili yako wewe ni extrovert but inaonekana katika kipindi cha hapo kati uliathirika na kitu flan . Halaf nkuulize una mahusiano? Vp tathmin apo?
Hii haina uhusiano wowote kati ya unapokua na hela na pindi unapokua umechacha ?? ..Mkuu nakuelewa kwa namna flani,kwa mfano mimi nina seasons kuna kipindi nachangamka balaa na kuwa na utani mwingi,kuna kipindi nakua mkimya sana sihitaji usumbufu.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app