Je, mimi ni introvert au extrovert?

Je, mimi ni introvert au extrovert?

Tafuta hela wewe, mambo ya u-introvert na u-extrovert hayatakusaidia lolote.

Anyway, kuna hawa wanaitwa ambivert, hawa wanakuwa na sifa zote za u-introvert na u-extrovert.
 
Binadamu yeyote lazima awepo kwenye mojawapo ya hayo makundi mawili,kwa mfano wewe mtoa huu uzi,nakuona wewe ni extrovert,kwa jinsi ulivyojieleza bilavl shaka wewe ni extrovert.
Lakini najiona kama nafit kwenye makundi yote mawili ..
 
Unapenda jokes ukiwa na wana uliowazoea au haipo hivyo?
Yani ni mwepesi mno wa kusocialize napokua shule, nazoeana na watu haraka sana .. nakumbuka nilihamia shule nyingine nilipo ingia advance, siku ya pili tu kama new comer nikapewa na u class monitor .. mademu wa form 6 niliowakuta hapo nikawa nabonga nao Ile Ile mpaka kuna mmoja akaanza kuonesha dalili za kunitaka ila home nakua mpole kupindukia ..
 
Kuwa introvert haimaanishi huwezi kuchangamka mbele ya watu,sio mcheshi,au ni unakaa peke yako tu muda wote...hapana.Kuna social skills nyingi introverts wanaweza kujifunza na kuzimaster,au wengine wanazo tu.

Utofauti mkubwa wa introverts na extroverts ni namna hawa watu wanavyo'recharge'.Introverts anaweza akafanya yote,akacheka vizuri na watu,kuongea mbele ya watu,but atakapohisi kuhitaji kurecharge,kuregain energy(tuseme kupumzika)huyo utamkuta yupo peke yake.Anakuwa comfortable zaidi kuwa alone kuliko kuwa na watu.Extroverts ni kinyume chake.
 
We ni semi-extrovert mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]!

Anyways uko flexible mkuu sema tu una aibu flani na una watu na watu sio kila mtu unajichanganya nae! Ofcourse huo utakatifu wa nyumbani ni tabia ambayo baadhi ya watu wanayo na chanzo ni kutokutaka uonekane sio ila ukiwa mbali na home unafanya vimbwanga tu kama Side mnyamwezi
Kama nakuelewa hivii! ..
 
Kwa asili yako wewe ni extrovert but inaonekana katika kipindi cha hapo kati uliathirika na kitu flan . Halaf nkuulize una mahusiano? Vp tathmin apo?
 
Tafuta hela wewe, mambo ya u-introvert na u-extrovert hayatakusaidia lolote.

Anyway, kuna hawa wanaitwa ambivert, hawa wanakuwa na sifa zote za u-introvert na u-extrovert.
We aliyekwambia sina hela ni nani ?? ..
 
Kuwa introvert haimaanishi huwezi kuchangamka mbele ya watu,sio mcheshi,au ni unakaa peke yako tu muda wote...hapana.Kuna social skills nyingi introverts wanaweza kujifunza na kuzimaster,au wengine wanazo tu.

Utofauti mkubwa wa introverts na extroverts ni namna hawa watu wanavyo'recharge'.Introverts anaweza akafanya yote,akacheka vizuri na watu,kuongea mbele ya watu,but atakapohisi kuhitaji kurecharge,kuregain energy(tuseme kupumzika)huyo utamkuta yupo peke yake.Anakuwa comfortable zaidi kuwa alone kuliko kuwa na watu.Extroverts ni kinyume chake.
Umechambua vyema sana mkuu, binafsi ndivyo nilivyo ..
 
Mkuu nakuelewa kwa namna flani,kwa mfano mimi nina seasons kuna kipindi nachangamka balaa na kuwa na utani mwingi,kuna kipindi nakua mkimya sana sihitaji usumbufu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Yani ni mwepesi mno wa kusocialize napokua shule, nazoeana na watu haraka sana .. nakumbuka nilihamia shule nyingine nilipo ingia advance, siku ya pili tu kama new comer nikapewa na u class monitor .. mademu wa form 6 niliowakuta hapo nikawa nabonga nao Ile Ile mpaka kuna mmoja akaanza kuonesha dalili za kunitaka ila home nakua mpole kupindukia ..
Duh! wewe ni pro extrovert
 
Kwa asili yako wewe ni extrovert but inaonekana katika kipindi cha hapo kati uliathirika na kitu flan . Halaf nkuulize una mahusiano? Vp tathmin apo?
Inawezekana sababu hali hii imenianza baada ya kuhamia Uganda, mwanzoni sikua najua lugha zao na ndio sababu iliyokuwa inanifanya nisijichanganye na watu lakini cha kushangaza ata baada ya kuzijua bado nimeendelea na hali Ile Ile ndo maana ikanibidi niulize ..

Hapana sina mahusiano ..
 
mara huoni shida kukaa mwenyewe mara huwezi kukaa mwenyewe kiufupi hujielewi na hujui umeandika nini
 
Mkuu nakuelewa kwa namna flani,kwa mfano mimi nina seasons kuna kipindi nachangamka balaa na kuwa na utani mwingi,kuna kipindi nakua mkimya sana sihitaji usumbufu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Hii haina uhusiano wowote kati ya unapokua na hela na pindi unapokua umechacha ?? ..
 
Back
Top Bottom