Je, mimi ni introvert au extrovert?

yani kwa historia hyo ,,unaonekana pia ulikuwa mpiga nyeto mzuri enzi hizo bila shaka usibishe......ulikuwa unajipa raha kimykimy..mana kuwa alone muda mrefu mtoto wa kiume afu uko rijali lzm utastua engine kidgo
Sikatai mkuu, ila sidhani kama ndo inaweza kuwa sababu ..
 
Tafuta hela hauna u introvert wowote jishughulishe mtoto wa kiume unatangaza unakaa ndan wiki nzima bila kutoka nje ya geti umekua mwali ww? unafurahia tu kula chakula cha shemeji na kuangalia sultan azam Tv
 
Tafuta hela hauna u introvert wowote jishughulishe mtoto wa kiume unatangaza unakaa ndan wiki nzima bila kutoka nje ya geti umekua mwali ww? unafurahia tu kula chakula cha shemeji na kuangalia sultan azam Tv
Mbona povu tena ?? ..
 
Jamaa hatari sana, hivi bado yupo active kweli, #SideMnyamwezi?
 
Mbona mnamnanga mshikaji

Mwaya we ni introvert au unasemaje
 
Habari wakuu,
Wewe ni introvert,kinochokufanya nyumbani uwe kimya ni aibu inayoambatana na nidhamu ya woga dhidi ya watu waliokuzidi umri (unakosa uhuru(comfortability)).

Sasa ulipoenda shule ya bweni kisaikolojia ulipata uhuru uliopindikia (free & very comfortable) kwa maana ya kwamba upo mahari ambapo;

🔘 Huwazi maisha (kama nyumbani hakuna matatizo ya kifamilia).

🔘Upo na watu wa rika moja ambao hamfahamiani kiundani (wote umri mnaringana).

🔘Upo mbali na wazazi/walezi na watu wengine unaofahamiana nao ( na hawa ndio unaowaleteaga nidhamu ya woga).

Introverts siokwamba ni wakimya muda wote au hawaongeagi sana la! Niwanaongea ila ni kwambinde sana yaani hapa sio wepesi wakuazisha au kuingilia maongezi (yaani hapa mnaweza mkawa kundi la watu mnabishana kitu afu wote mmeenda opposite/mnalishana matango pori... sasa apa huyo introvert anaweza akawa anujua jibu na akiingilia na kujibu mbishano na utata ukaisha hapohapo lakini yeye hajibu anakua mzito kuzungumza hadi mtatawanyika, sasa dawa yake hapo ni mum-face yeye mumuombe mchango wake juu ya hilo swala, hapo mtashushiwa nondo heavy.

Hata wanafunzi madarasani mwalimu akisema anaejua jibu la hili swala anyooshe kidole... mara nyingi hawanyooshagi, hata akikosekana wa kujibu na mwalimu akaongezea kama hamjibu/hamjui nawawasha bakora my friends mmekwisha fimbo mtapigwa kumbe kulikua na pimbi mmoja anajua na anauhakika hili ndio jibu. Sasa we kama mwalimu unawajua watu wa namna hii we unam-point tu fulani jibu swali anajibu kilaini maana hawezi kukataa kwakua hayo yote sio ilikua ni jeuri au kiburi ni basi tu yani😁

Hawa jamaa ni wanafikiria sana (Great thinkers), sio wanyonge kiviile ni wazungumzaji sana tu... ukitaka kujua hilo we tafuta topic au wazo tu fikilishi lisiwe la udaku kaanzishe story nae na itapendeza zaidi kama litakua limo ndani ya mambo anayoyapendelea(hobby),. My friend zitashushwa nondo za maana hapo utakuta anafunguka kwa kujiachia hutaamini.
 
Shukrani sana mkuu [emoji1545][emoji1545] ..
 
Tafuta hela wewe, mambo ya u-introvert na u-extrovert hayatakusaidia lolote.

Anyway, kuna hawa wanaitwa ambivert, hawa wanakuwa na sifa zote za u-introvert na u-extrovert.
wanaforce kila mtu awemo kwny hayo makundi ya kufikirika.

Mi nafikiri hizo ni dhana tu za uganga nyota.
halipo la kutoamo humo sanasana mizaha tu.
 
Wewe ni introvert maana Extrovert yupo humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…