Je, mimi ni introvert au extrovert?

Je, mimi ni introvert au extrovert?

mara huoni shida kukaa mwenyewe mara huwezi kukaa mwenyewe kiufupi hujielewi na hujui umeandika nini
Punguza kwanza jazba alafu rudia tena kusoma utaelewa nimeandika nini ..
 
kuna wale hatuelewi kwa kina hata hizo introvert na extrovert ndo vitu gani[emoji3166]
 
kuna wale hatuelewi kwa kina hata hizo introvert na extrovert ndo vitu gani[emoji3166]
Kwa tafsiri isiyo rasmi, introvert ni ile hali ya ukimya yani kutokuwa social na extrovert ni kinyume chake ..
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi, introvert ni ile hali ya ukimya yani kutokuwa social na extrovert ni kinyume chake ..
Nimekuelewa introvert mkimya extrovert muongeaji[emoji848]
 
Ila ya kukaa ndani wiki nzima bila kutoka nje hiyo kiboko. Umenizidi. Mimi naweza kukaa siku moja au mbili tu, siku ya pili lazima nitoke. Wiki! Hiyo ni komesha.
Mi zamani kabla ya maisha kuchangamma ndo ilikua style yangu kukaa ndani tu na TV
Hadi nakua mweupe mana nadra kukaa juani😅
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nimekua nikisoma threads tofauti tofauti hapa JF zinazohusiana na watu wapole/wakimya (introvert) na wale wasio wapole/wacheshi (extrovert)

Binafsi nimekua nikijiuliza nipo kundi lipi bila kupata majibu kwa sababu sifa zote za introverts zilizoainishwa na wadau wa JF ninazo ninapokuwa home yani ni mgumu sana wa kusocialize, nikikukuta Yani ni salamu tu imetoka hiyo .. na nilikuwa na uwezo wa kukaa ndani hata wiki nzima nisikanyage nje ya geti, yani kwa ufupi ni kwamba naonekana kwa nadra sana na pia nina feel more comfortable kuwa peke yangu yani huwa sitegemei kabisa kampani ya mtu.

Pia nina tabia ya kuongea peke yangu, yani nina uwezo wa kukaa hata masaa mawili nikawa naongea mithiri ya mtu aliye kijiweni na kucheka kabisa [emoji23][emoji23] (nipo vizuri kabisa kiakili) hali inayonifanya nijiulize hivi wanaosema wako bored kivipi yani mbona am always alone but I don't feel any sense of boredom?

Tuachane na hayo, hali hii imenifanya nijizolee maadui kibao mtaa ninaoishi mbaya zaidi nachukiwa hadi na watu wazima yani utawakuta wamekaa kwenye group unawasalimia wote hamna anayekujibu.

Alafu kingine ni kwamba, nimekua ni mwepesi mno wa kufanya hard decisions (maamuzi magumu) yani ni kitu cha kawaida mno kwangu mpka kuna muda huwa najiuliza 'hivi ni mimi ninayefanya haya'

Lengo hasa la Uzi huu ni hivi, kipindi nasoma kuanzia form 1 mpaka form 6 nilikuwa stubborn sana shuleni, kila mwalimu ali complain kuhusu mimi. Mara nyingi nilikua nikifukuzwa kati kati ya kipindi sababu ya kelele darasani.

Mara nyingi nikiwa shuleni nitajitahidi kujitenga na wana kusudi niweze kujisomea lakini nitakaa kwa muda wa 30mins only nitafunga kitabu nitarudi kwenye group na washkaji (Yani nilikua siwezi kukaa alone)

Mpaka nafika advance Ilikua baadhi ya lessons nisipo kuwepo basi darasa litapoa mno, kwa kifupi Nina ucheshi wa aina yake, ofauti ni kwamba ninapokuwa home haya yote niliyo yaorodhesha huwa ni kinyume chake, yani nakua mpole mno siwezi kabisa kujichanganya na watu kama ambavyo nakua shuleni.

Kwa kifupi mimi wa shuleni na wa nyumbani ni watu wawili tofauti.

Je, mimi nipo kundi lipi, introvert au extrovert, au nipo katikati?

Nawasilisha
yani kwa historia hyo ,,unaonekana pia ulikuwa mpiga nyeto mzuri enzi hizo bila shaka usibishe......ulikuwa unajipa raha kimykimy..mana kuwa alone muda mrefu mtoto wa kiume afu uko rijali lzm utastua engine kidgo
 
Back
Top Bottom