shukran sana mkuuMazingira yamechangia kwa kiasi vile ulivyo(ulipokulia,malezi)+pia chembechembe zakibaologia kutoka kwa wazazi+unavyojiona ndani yako = ndio wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maswali alikuwa nayo sana Ed Nigma wa GothamNikipiga/nikipigiwa simu siongei zaidi ya dk 3 zikizidi sana dk 5
Kinyume na hapo muhusika akizidi zaidi ya hapo nahisi usumbufu na ndio mwanzo wa kupunguza mazoea
chatting za text kwa mtu mmoja hazizidi 15 hivi,niliwahi kuuza nokia tochi nikihisi hakina msaada!
Je,mimi ni nani? au kuna tatizo!?