Je,mimi ni nani?

Je,mimi ni nani?

Nikipiga/nikipigiwa simu siongei zaidi ya dk 3 zikizidi sana dk 5

Kinyume na hapo muhusika akizidi zaidi ya hapo nahisi usumbufu na ndio mwanzo wa kupunguza mazoea

chatting za text kwa mtu mmoja hazizidi 15 hivi,niliwahi kuuza nokia tochi nikihisi hakina msaada!

Je,mimi ni nani? au kuna tatizo!?
Haya maswali alikuwa nayo sana Ed Nigma wa Gotham
 
Back
Top Bottom