Je, miradi ya kimkakati bado inaendelea huko Chato?

malang0

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
440
Reaction score
523
Kipindi cha awamu ya tano tuliona miradi mingi inapelekwa chato, tumeona hospitali kubwa na ya kisasa. uwanja wa ndege, mbuga ya kitalii, hoteli ya nyota tano vyote hicho vikijenga chato, Je ile miradi mingine kama uwanja wa kisasa wa michezo inaendelea?
 
Wakandalasi wanadai pesa huko
 
Daraja limefikia 50% uwanja wa ndege unafungwa taa.

Hospitali ya rufaa inafungwa vioo
 
Imekufa tayari na kuzikwa mapema mwezi huu.
 
Tumeapa kufuata katiba na miongozo ya kitaalam juu ya matumizi ya pesa za uma. hivyo anything nje ya bajeti mama hatekelezi
 
Kwa sasa tunatazama kwanza miradi yenye tija
 
Mzee wa Chato aliota chato iwe makao makuu ya mkoa wa Geita before 2025 - Mungu akabonyeza kitufe akaondoka kabla ya kuiona kaanani yake.
 
Kwani wanachato wenyewe wanasemaje kuhusu hizo miradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…