Mama tifa
Member
- Jun 18, 2026
- 27
- 41
SIna uhakika kama ipo ila kwanini uliize kama inazaa hii imekaaje🤔🤔Nina hoja ya msingi ambayo wengi tunasikiaga tu msukule ila hatujawahi kuona msukule
Je msukule upo kwelI, kuna watu wanachukuliwa misukule?
Je kama upo mtu akichukuliwa msukule anaweza akarudi? Mtu akichukuliwa msukule wanaweza kuzaliana?
Karibuni kutoa michango yenu
Mshana Jr na wengine wote