Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Habari za muda huu wakuu..
Shemeji yenu mtarajiwa ni binti wa Kikenya. Anasoma sheria (LLB) huko huko Kenya. Ila tuna mpango wa kuja kuishi pamoja huku Bongo.
Yeye mwenyewe anasema angetamani ku-practice law huku kwetu Tanzania.
Nimeuliza kwa baadhi ya washkaji zangu na inaonekana non-citizens hawaruhusiwi kupractice Tanzania.
Swali langu ni: Je, ni kweli kuna sheria kama hiyo Tanzania?
Pia, kama ipo ni solution gani tunaweza kutumia ili kumuwezesha yeye ku-practice huku?
Natanguliza shukrani.