Je, Mkenya anaruhusiwa kupractice Law Tanzania!??

Je, Mkenya anaruhusiwa kupractice Law Tanzania!??

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,328
Reaction score
23,909
Habari za muda huu wakuu..
Shemeji yenu mtarajiwa ni binti wa Kikenya. Anasoma sheria (LLB) huko huko Kenya. Ila tuna mpango wa kuja kuishi pamoja huku Bongo.
Yeye mwenyewe anasema angetamani ku-practice law huku kwetu Tanzania.
Nimeuliza kwa baadhi ya washkaji zangu na inaonekana non-citizens hawaruhusiwi kupractice Tanzania.

Swali langu ni: Je, ni kweli kuna sheria kama hiyo Tanzania?

Pia, kama ipo ni solution gani tunaweza kutumia ili kumuwezesha yeye ku-practice huku?

Natanguliza shukrani.
 
I am thinking of telling her this!
Yani aolewe kabla ya kuwa na uhakika wa kazi (her mum could be a problem, jus thinking!)
Wewe siyo muowaji bali ni Goal Digger, sijawahi kuona Mwanaume opportunist kama wewe. kazi ya Mwanamke ni kukaa nyumbani kukupikia na kulea Familia, hizo nyingine ni mbwembwe tu. by the way hata kama sheria inamruhusu hatumuhitaji sisi wenyewe hatuna kazi, sasa mgeni kwa nini aje kuchukuwa kazi zetu?
 
Bwana Matola nadhani nakukumbuka from one thread ivi ya Eversmilin Gal!
eniwei, nisingekuwa na mpango wa kumuoa wala nisingehangaika kutafuta majibu ya mambo haya!
Pili, suala la kazi siku hizi dunia ni global village si lazima mtanzania afanye kazi tanzania! get it...
 
Last edited by a moderator:
Mimi siyo mwanasheria lakini nadhani ili afanye kazi Tanzania anatakiwa kujua sheria za Tanzania.Ata mteteaje mtu ilihali hajui sheria za nchi husika?
 
Nashukuru nimeshapatiwa jibu sahihi!
Mbarikiwe...
 
Nashukuru nimeshapatiwa jibu sahihi!
Mbarikiwe...

ya anaweza kabsa kwa sababu sheria za kenya,uganda na tanzania chimbuko lake ni moja ambalo ni common law....kwa hiyo yeye kuna mambo machache tu atabidi asome tanzania lakini sheria haijatofautiana sana
 
Bwana ngararumo..i thot so too mpaka nilipoambiwa non citizens hawaruhusiwi kwenda Tanzania School of Law.

Alternative niliyopewa ilikuwa amalize chuo kwao, asome law school kwao then apewe permit ya kupractice kwao then akija bongo anaenda kuapply permit kwa chief justice.

au..
amalize LLB yake..aolewe apate citizenship aende law school then a practice tz.!!!

enlighten me zaidi pliz...
 
Last edited by a moderator:
mkenya haruhusiwi kupractice law tz. watz peke yao ndio wanaweza kupractice.
 
Back
Top Bottom