Je, mkojo huondoa stress za mapenzi tu?

Mkojo unakojolea kifuniko cha maji safi kabla ya kunywa unanunia like nataka The Boss anipende milele wiki yako Moja tu utaanza shobo kwangu Ila n jinsi imani yako inavokutuma wapo waliokunywa hawakufanikiwa waliofanikiwa wakaenda mbaaaali wakasema ule wa asubuh ndo mzuri zaidi
 
Habari jamani,

Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!

Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
Unaongea nin wew
 
Ah ah ah ah

Dunia.ina mambo
 
Habari jamani,

Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!

Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
Dawa ya stress n stress

Hayo mambo ya mkojo n km imani tuu

Hakika km unamawazo ya kuachwa we nenda pale ikulu kamshike.korodan.yule mlinzi...

Au nenda police station mpige dole mkuu wa kituo

Hakika utasahau fasta sana

Ila piga pombe jitie hasara
 
Amazing..
 
Kuna Uzi Hapa Uliletwa Kuwa Kulick Dick Kunaimarisha Uwezo Wa Kufahamu Kwa Mwanamke....
Kuna mwengine Akasema Kulick 0713 kunatibu Matatizo Ya Moyo Kwa Mwanamme..
Leo wewe Unatwambia Kudrink Urine Kunasababisha Kusahau Matatizo...
Next Ni Nani na Atasema nini Kinafanya nini??
 
Sema ww kunywa tu coz kwanza mkojo unasukari nyingi tu so mm nahis unasaidia kuongeza kiasi flan cha sukari mwilini

Narudia tena kunywa mkojo una faida kwako[emoji4] [emoji4]
 
Kweli PLACEBO Wakati Mwengine ni Tiba! Lakini hii ya Mkojo Dah... Mademu Wanakunywa Mkojo wa SEMEN (Shahwa) lakini si Kwa Ajili ya Tiba! Bali Wanasuck Kwa Ajili Ya Mapenzi tu... Lakini Mkojo Wa Urine aiseee.... Sidhani.....
 
hizi tafiti zingine sizo. kwanza tujue mkojo una ingredients zipi. haiwezekani sumu zinazotolewa na figo kupitia mkojo zikawa ni dawa. never.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…