princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
-
- #81
mara moja tu!Kwahiyo unakunywa Mara moja tuu.?! [emoji28] [emoji28] [emoji28] kwenye mapenzi hamna kulilia tena !!![emoji28] [emoji28] [emoji28]
mkojo ni juice asilia[emoji23]Sema ww kunywa tu coz kwanza mkojo unasukari nyingi tu so mm nahis unasaidia kuongeza kiasi flan cha sukari mwilini
Narudia tena kunywa mkojo una faida kwako[emoji4] [emoji4]
hujawa na stresshizi tafiti zingine sizo. kwanza tujue mkojo una ingredients zipi. haiwezekani sumu zinazotolewa na figo kupitia mkojo zikawa ni dawa. never.
Ina maana wote wanaoteswana mapenzi hawajui hii dawa..kwa mfano una stress za mapenzi
umeachwa au mwanammke anakuzingua au mwanaume
sasa unataka kumsahau haraka maana anakunyima raha..
unakojoa kwenye kikopo kdg
halafu unakunywa kidogo
huku unasema labda " kwanzia leo aisha nikusahau, sikutaki tena nikusahau kabisaa"
basi kwanzia hapo utamsahau..
kesho yake utaamka umeshaanza kumsahau
kojo hilo hilo![emoji15] [emoji15] mkojo tena???
Usipojipanga ni nini? Wanawake wajinga sana kwenye hii dunia. Yaani unajifunzia vitu kwenye page za kijinga za insta?mishumaa sijui kazi yake..
nenda kwq usipojipanga[emoji23][emoji23]
Princess ile ni dawa ambayo watu waliibatiza jina la mkojo wa punda na ilikuwa inatolewa ktk vituo vya afya lakini haimaanishi it was donkey's urine.hujawa na stress
mbona tunakunywa mkojo wa punda kwa ajili ya kifua
Kumbe ili workmimi nshawasahau[emoji23]
Kama ni dawa.... Kutwa mara ngapi??mkojo ni dawa kabisa
sijasoma kabisa.Usipojipanga ni nini? Wanawake wajinga sana kwenye hii dunia. Yaani unajifunzia vitu kwenye page za kijinga za insta?
Jf ni sehem ya critical thinkers, hapa unatakiwa uje na research na uchambuzi yakinifu sio unaongea kirahisi hivo eti nenda kwenye usipojipanga alafu inawezeka umesoma vyuo vya kata
mimi nikadhani mkojo mixerPrincess ile ni dawa ambayo watu waliibatiza jina la mkojo wa punda na ilikuwa inatolewa ktk vituo vya afya lakini haimaanishi it was donkey's urine.
mara moja tuKama ni dawa.... Kutwa mara ngapi??
Kuna elements za ushirikina hapa!!kwa mfano una stress za mapenzi
umeachwa au mwanammke anakuzingua au mwanaume
sasa unataka kumsahau haraka maana anakunyima raha..
unakojoa kwenye kikopo kdg
halafu unakunywa kidogo
huku unasema labda " kwanzia leo aisha nikusahau, sikutaki tena nikusahau kabisaa"
basi kwanzia hapo utamsahau..
kesho yake utaamka umeshaanza kumsahau
hapanaaaKuna elements za ushirikina hapa!!
Ujinga ujinga tuu. Kila kitu instagram hamuwezi kukipa kichwa nafasi ya kuwaza dunia inaendaje kutwa kucha mnashinda insta kuangalia na kusoma ujinga na kuiga kuvaa uchi.sijasoma kabisa.
kwani ungesema bila maneno makali ingekuaje?
au ungepita tu kimya?
kama wewe mwema kwanini ujibizane na ubaya ? maana wote mnaonekana wabaya..
stay classic dude.[emoji41]
sio wote jamani.Ujinga ujinga tuu. Kila kitu instagram hamuwezi kukipa kichwa nafasi ya kuwaza dunia inaendaje kutwa kucha mnashinda insta kuangalia na kusoma ujinga na kuiga kuvaa uchi.
Ila kwa mtu mwelewa zile page sio za kisoma ushauri. Kwa suala la biashara ni sahihi. Nna marafiki zangu wanasoma zile paje kufatilia kila kitu wamekua kama mavichaasio wote jamani.
ni ujinga ndio
lakini sio kwa kila mtu kuna watu wanafanya biashara huko..
mimi binafsi huwa na reflesh mind tu
na kuangalia bidhaa
ila navaa kiheshima ,nna stara zangu tu
karibu kwenye page yangu![emoji120]