Kwa hapo utapewa mkopo kwa dhamana ya kiwanja maana nyumba bado hujajenga.Habari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.
Asante.
Inawezekana japo inategemea pia na kiwango cha mkopo unachohitajiHabari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.
Asante.
Kiwanja cha thamani ya millioni tano utapewa milioni tatu tuHabari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.
Asante.
Hiyo ni mortgage. Unachukua mkopo unajenga nyumba mara nyingi ya kibiashara, wewe unakuwa mwendeshaji na unafanya marejesho kwa benki. Hilo jengo ulilojengea huo mkopo linakuwa mali ya benki siku zote hizo za marejesho na usipolipa hata kama ulibakiza deni 5% benki haikupi umiliki.Habari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.
Asante.
Asante sana kwa ufafanuzi.Hiyo ni mortgage. Unachukua mkopo unajenga nyumba mara nyingi ya kibiashara, wewe unakuwa mwendeshaji na unafanya marejesho kwa benki. Hilo jengo ulilojengea huo mkopo linakuwa mali ya benki siku zote hizo za marejesho na usipolipa hata kama ulibakiza deni 5% benki haikupi umiliki.
Mortgage ya hivyo hutolewa na mabenki yenye uwezo mkubwa na hupewa taasisi au kundi linaloeleweka. Sijajua huku kwetu inakuaje
Hapo dhamani ya kiwanja au labda liwe li mjengo la kufaaHabari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.
Asante.
Kibo commercial ComplexMfano ni tegeta complex mmiliki alikopeshwa hela bank crdb akajenga na crdb ikapanga pale,ujenzi kama huo wenye tija bank in support percent kadhaa ya ulichonacho sio full mkopo Chini mpaka juu
yes ni kweli bank nyingi zinafanya hivyo kuna tajiri moja aliingia mkataba na benk ya exim km sijakosea na ground floor nzima ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya benk ila hiyo ni mortgage na umiliki wote unakuwa chini ya benk mpk pale utakapo maliza mkopo wakoMfano ni tegeta complex mmiliki alikopeshwa hela bank crdb akajenga na crdb ikapanga pale,ujenzi kama huo wenye tija bank in support percent kadhaa ya ulichonacho sio full mkopo Chini mpaka juu