Je, mkopo wa mshahara ukirudisha mapema ni gharama zipi zinaongezeka?

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
379
Reaction score
603
Mfano ukikopa NMB, CRDB au NBC kisha ukafanya mambo yako yakaenda kama ulivyotarajia na ukataka kurudisha mkopo mapema ni gharama zipi utakumbana nazo tofauti na kiasi cha mkopo kilichokuwa kimebakia kulipwa. Natumai watu wa mabank mtanipa mwanganza.
 
4 or 5% for early return of the total loan.
 
Mfano ukikopa NMB, CRDB au NBC kisha ukafanya mambo yako yakaenda kama ulivyotarajia na ukataka kurudisha mkopo mapema ni gharama zipi utakumbana nazo tofauti na kiasi cha mkopo kilichokuwa kimebakia kulipwa. Natumai watu wa mabank mtanipa mwanganza.

Nakupa ujanja.. wafundishe na wengine

Ukienda bank yoyote, usiseme unataka kufuta mkopo wote, utachajiwa zaidi almost 5% ya ule mkopo, fanya hv.. Say unadaiwa 10 mil.. ongea nao unataka kupunguza mkopo, then peleka kama 8 mil kwanza.. Then wata calculate utakatwa kila mwezi kiasi gani kwa 2 mil zilizobakia, then baada ya mwezi hivi peleka 1.7 mil.. Itabakia kama laki 1 au chini ya hapo, sasa waambie deni limebakia kidogo sana naomba nimalizie kilichobakia, hutachajiwa sbb mfano deni limebakia 30,000 hawawezi kukuchaji chochote tena.
 
LOOh! Nakushukuru sana kaka mkubwa kwa maelezo yako ya kina. Swali linakuja! Je wanakubali pesa nusu nusu?
 
Hii non-applicable.... Salaried Workers Loan haifutwi kwa installment maana makato yake yanakatwa moja kwa moja HAZINA... hii inafutwa kwa mara moja... Unapotaka kufuta mkopo wako unatakiwa kufuta mkopo wote kwa mara moja au kwa mkupuo na siyo nusu nusu
 
Na Mabenki nao washaona Huu ujanja Wanabadili Gear
 
Mfano ukikopa NMB, CRDB au NBC kisha ukafanya mambo yako yakaenda kama ulivyotarajia na ukataka kurudisha mkopo mapema ni gharama zipi utakumbana nazo tofauti na kiasi cha mkopo kilichokuwa kimebakia kulipwa. Natumai watu wa mabank mtanipa mwanganza.
Ukitaka kurudisha mkopo mapema kabla ya muda utachajiwa Early settlement fees ambayo ni % flani ya total outstanding balance.... % hiyo inategemea na benki husika... Mfano deni lako limebaki milioni 4 baada ya kutoa riba... Bhasi utakacholipa ni milioni 4 plus % ya hiyo milioni 4 kama early settlement fee.... Ila unachotakiwa kujua unapoulipa mkopo mapema kabla ya muda wake bhasi unalipa bila riba...
 
Huu ni uongo kwa 100%...uongo kabisa..

Employees wote awe wa serikali au sector binafsi au individual yeyote, anaweza lipa mkopo nusu nusu na anaweza lipa yote in full..!! Kama hujui vitu jaribu kutafuta kujua.. Utabakia maskini au kutokujua mambo mengi ya manufaa makubwa kwako ukijitia unajua kumbe hujui au unajua kinyume chake
 
Mkuu mimi nipo kwenye banking industry mwaka wa 15 sasa.... Nimefanya kazi zaidi ya benki 5.... Nimefanya mikopo kwa muda wa miaka 5..... Nitajie benki ambayo Mteja mwenye mkopo wa Mfanyakazi analipa mkopo wake kidogo kidogo pindi anapopata ela nje ya makato ya kila mwezi ya kwenye mshahara.... Usimpotoshe mwenzako
 
Nadhani hii ndio kweli kwa akili za kawaida tu maana nilishawahi kuulizia nikapewa jibu la namna hii
 
Aisee... ww ni muongo na mbishi mno na hii tabia mostly watu wa Kigoma to my experience ndio they behave like you.

CRDB, NMB, TPB, DCB, BOA, Azania, All ukiwa mtumishi wa umma then say you have a loan with them, sema 40mil.. na mshahara wako unapitia hapo, ukitaka kupunguza mkopo na umepata 30 mil wanapokea hapo hapo, kwanini ww muongo hivi? What do you get? Bila aibu eti you have 15 yrs working with banking ? You have a very big problem, yaani hata hujui watumishi wa umma wakipata fedha wengi wanapunguza mikopo yao kila siku ktk mabenki? Ww uko hai kweli mentally? 15 yrs uko bank na hujui hili? Don't waste my time again quoting, labda unafanyia bank ya mashetani
 
Mmmh!jamaa unaweza kuwa sahihi lkn lugha unayotumia mbona kama unamu-attack mwenzako!!! Mbona mwenzako anatumia lugha ya staha tu, mara uwataje watu wa Kigoma kuwa wabishi sio ustaarabu,km unataka kumuelimisha mtu fanya kwa njia ya kiungwana,vinginevyo utaonekana na wewe ni mpyuuz tu km wapyuuz wengine!Samahani km nitakuwa nimekukwaza lkn!!
 
Hujawahi kukutana na waha kwa ubishi...
Ila katoa mfano usitoke povu
 
Endelea kuupotosha Umma.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…