Je mlalamikaji yupo sahihi??

Hivi haiwezekani makanisa na misikiti kuweka ule mfumo sijui unaitwaje ambao sauti inaishia ndani kama vile clubs/disco zilivyo
 
Mambo mengine ni kukubaliana na diversity. Hatuwezi kufanana. Kwangu Mimi kwaya Wala adhana haziwezi kunisumbua. Tukibali tofauti zetu. Concentrate na Mambo yako. Kwaya Nini, wanaimba maneno ya Mungu, adhana hivyo hivyo.
 
Hivi haiwezekani makanisa na misikiti kuweka ule mfumo sijui unaitwaje ambao sauti inaishia ndani kama vile clubs/disco zilivyo
Adhana ni km wito na kuwakumbusha walio nje kwamba ni muda wa swala, haiwezi kuwekwa sound proof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…