Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,645 Aug 26, 2025 #1 Habari Tanzania ! Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili; Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo; 1. Kansa aina yoyote? 2. Punguza maumivu aidha makali au sugu? 3. Kuchechea hamu ya kula? Karibu.
Habari Tanzania ! Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili; Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo; 1. Kansa aina yoyote? 2. Punguza maumivu aidha makali au sugu? 3. Kuchechea hamu ya kula? Karibu.
Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Aug 26, 2025 #2 Hizi ni matokeo ya sera za nchi zilizoendelea…. Bangi ina faida nyingi sana Kama kutengenezea madawa ya binadamu Kutengenezea viwatilifu Kutengenezea viungo vya chakula nk Lakin pia inatumika kinyume na matumizi yake halali
Hizi ni matokeo ya sera za nchi zilizoendelea…. Bangi ina faida nyingi sana Kama kutengenezea madawa ya binadamu Kutengenezea viwatilifu Kutengenezea viungo vya chakula nk Lakin pia inatumika kinyume na matumizi yake halali