sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wamasai na Waarusha ni makabila mawili tofauti japo wanasikilizana lugha.Kabila tofauti.
Mchaga wa Machame na Mmeru wamepakana na wana vinasaba vya kindugu lskini ni kabila tofauti.
Hata hivyo hata wakibosho, wa uru, marangu baadhi ya maneno wanasikilizana na wameru.
Mwarusha na mmeru hawasikilizsni na hawapendi pia.
Mwarusha ni mmasai wa mjini.
Wanasikilizana na wamasai wa porini na majina yao ni yale yale Laiza, Mileli nk
Naamini zaidi hii post kuwa muarusha ni mmasai part 2Kabila tofauti.
Mchaga wa Machame na Mmeru wamepakana na wana vinasaba vya kindugu lskini ni kabila tofauti.
Hata hivyo hata wakibosho, wa uru, marangu baadhi ya maneno wanasikilizana na wameru.
Mwarusha na mmeru hawasikilizsni na hawapendi pia.
Mwarusha ni mmasai wa mjini.
Wanasikilizana na wamasai wa porini na majina yao ni yale yale Laiza, Mileli nk
Mpaka kesho siamini kama kuna kabila linaloitwa Muarusha,Wamasai na Waarusha ni makabila mawili tofauti japo wanasikilizana lugha.
Wameru na Wamachame wanaelewana lugha japo ni makabila tofauti.
Kimsingi, miongoni mwa makabila makuu (siyo pekee) Arusha ni Wameru, Wamasai na Waarusha.
Hayo makabila matatu yana baadhi ya desturi wanazoshea lakini kila moja lina upekee wake unaolitofautisha na jenzake.
We jamaa unaonekana uko deep sana kifkra, nafatiliaga nyuzi zako nyingi, huwa unaleta mada fikirishi sana, big up mkuu [emoji1307]Hawa ni watu wa wapi?
Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo.
Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani kama wamasai.
Waarusha na wameru ni kabila moja?
Asili yao wote ni wamasai?
Kabila fulani kuwa na unasaba na kabila jingine siyo kitu kipya. Hakuna kabila lililoshushwa toka Mbinguni.Mpaka kesho siamini kama kuna kabila linaloitwa Muarusha,
Nnachofaham mimi Arusha ina makabila makuu mawili
, Masai na Chaga
Hawa wamasai ,kwa hapo arusha wamegawanyika mara mbili kuna wa mjini ambao ndo hao mnawaita waarusha na kuna wale wa ndanindani lakini wote ni wamasai
Ukija upande wa pili, hawa wanaoitwa wameru kiasili ni wachaga wa machame waliohama kutafuta maeneo miaka hiyo ndo wakaanzisha makazi yao huko meru, ila baada ya miaka kupita na muingiliano.wa jamii ya wamasai na wachaga ndo wakaform hao wameru ,na ndo maana mmeru anatabia zote mbili za kimasai na za kichaga
Kwa lugha rahisi mwenye asili ya Arusha kabisa ni Mmasai peke yake, haya makabila mengine yamekuja tuu
Kingine msichofahamu ni kwamba , Mchaga wa machame, Mmeru na Mkikuyu wa kenya wote wanasikilizana
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Nashangaa kama karne hii bado kuna watu wenye mitazamo hiyo.Mwanamke wa kimeru sio wa kuoa atakuchinja
Hakuna kabila ĺa waarusha.Wamasai na Waarusha ni makabila mawili tofauti japo wanasikilizana lugha.
Wameru na Wamachame wanaelewana lugha japo ni makabila tofauti.
Kimsingi, miongoni mwa makabila makuu (siyo pekee) Arusha ni Wameru, Wamasai na Waarusha.
Hayo makabila matatu yana baadhi ya desturi wanazoshea lakini kila moja lina upekee wake unaolitofautisha na jenzake.
Sijayachimba saana makabila ya Tanzania, lakini alau nimeyafuatilia machache kwenye vitabu na masimulizi ya wazee wakubwa. Makabila matatu ya Arusha ni miongoni mwa niliyoyafuatilia kipindi fulani kwa lengo fulani, japo niliahirisha baadaye mradi husika kabla ya kuukamilisha.Hakuna kabila ĺa waarusha.
Hata wao wanajiita wamasai.
Hapo uliposema kuwa arusha ina makabila makuu mawili masai na wachaga inatosha kuishia hapohapo kutambulika hujui unachoandika, wachaga siyo sehemu ya makabila makuu ya Arusha.Mpaka kesho siamini kama kuna kabila linaloitwa Muarusha,
Nnachofaham mimi Arusha ina makabila makuu mawili
, Masai na Chaga
Hawa wamasai ,kwa hapo arusha wamegawanyika mara mbili kuna wa mjini ambao ndo hao mnawaita waarusha na kuna wale wa ndanindani lakini wote ni wamasai
Ukija upande wa pili, hawa wanaoitwa wameru kiasili ni wachaga wa machame waliohama kutafuta maeneo miaka hiyo ndo wakaanzisha makazi yao huko meru, ila baada ya miaka kupita na muingiliano.wa jamii ya wamasai na wachaga ndo wakaform hao wameru ,na ndo maana mmeru anatabia zote mbili za kimasai na za kichaga
Kwa lugha rahisi mwenye asili ya Arusha kabisa ni Mmasai peke yake, haya makabila mengine yamekuja tuu
Kingine msichofahamu ni kwamba , Mchaga wa machame, Mmeru na Mkikuyu wa kenya wote wanasikilizana
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
chaga kwao moshi sio arusha wamehamiaMpaka kesho siamini kama kuna kabila linaloitwa Muarusha,
Nnachofaham mimi Arusha ina makabila makuu mawili
, Masai na Chaga
Hawa wamasai ,kwa hapo arusha wamegawanyika mara mbili kuna wa mjini ambao ndo hao mnawaita waarusha na kuna wale wa ndanindani lakini wote ni wamasai
Ukija upande wa pili, hawa wanaoitwa wameru kiasili ni wachaga wa machame waliohama kutafuta maeneo miaka hiyo ndo wakaanzisha makazi yao huko meru, ila baada ya miaka kupita na muingiliano.wa jamii ya wamasai na wachaga ndo wakaform hao wameru ,na ndo maana mmeru anatabia zote mbili za kimasai na za kichaga
Kwa lugha rahisi mwenye asili ya Arusha kabisa ni Mmasai peke yake, haya makabila mengine yamekuja tuu
Kingine msichofahamu ni kwamba , Mchaga wa machame, Mmeru na Mkikuyu wa kenya wote wanasikilizana
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
lipo kabila la waarusha na asili yao ni wamasai na hata lugha yao ni mojaNifah kama umewahi fika Arusha nisaidie, je kuna kabila la Waarusha?
Hujui kitu karudi Darasani toka lini mchaga akawa mojawapo ya kabila toka Arusha??Mpaka kesho siamini kama kuna kabila linaloitwa Muarusha,