el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Sasa tunaiona Manchester city yenye wachezaji kama Sergio aguero, Raheem sterling, leroy Sane ikipiga kila inayekutana nae.
Hili limenipa wazo moja, kumbe premier league ukiwa na timu yeye kikosi kikali kushinda wengine na kocha mzuri kama Pep basi utanyanyasa timu zingine kama kawaida,,
Maana hata Man untd iliyokuwa na Cr7,Berbatov,Rooney,Tevez ilinyanyasa sana watu na ikachukua ubingwa mara 3 mfululizo.
Swali likanijia, Hivi huku kwenye Premier league kungekuwa na timu kama ile Barcelona ya Messi mwenye nywele ndefu kidogo na kocha akiwa huyuhuyu Pep, wangekuwa wanapigwa ngapi?.
Kama Man city hii ambayo washambuliaji wake ni Aguero, Sterling na Leroy Sane inasumbua hivi, vipi kama Guardiola angekuwa E.P.L na Messi ambaye uwezo wake tu ni kama hao sterling 10, David villa pamoja na Xavi & Iniesta?
Au hiki cha juzi hapa kilichochukua champions league?
Tukiacha Barcelona, je huu mkikosi wa Realmadrid wa 2016 ungetupiwa hapo premier league balaa lake lingekuwaje?
Katika swali nililojiuliza, nimegundua kuwa ugumu wa Premier league ni kutokana na timu nyingi huwa hazina vikosi vipana au majiwe ya hatari ,pamoja na mgao mkubwa wa fedha kwa kila timu hivyo kusababisha vikosi kukaribiana uwezo.
Ila ikitokea kikosi kikali kama cha R.madrid 2016, au kile cha Barcelona 2011 na 2015 kingeletwa hapo England, probability ya kupiga timu zaidi hata ya Man city inavyofanya sasa ni kubwa mno.
Maana combination ya Suarez,Neymar na Messi ni mara 10 au zaidi ya Man city hii!!!!