Je, mmiliki halali wa Mtoto ni Baba au Mama? Au wote wawili?

Kisheria inatambua mtoto ni wa wazazi wawili, ila pia kama kuna mpasuko na wawili nyie mkawa mnagombaniana watoto huwa sheria inaangalia mtoto umri wake then kama ni mdogo sana basi itampa mama advantages...
 
Kisheria inatambua mtoto ni wa wazazi wawili, ila pia kama kuna mpasuko na wawili nyie mkawa mnagombaniana watoto huwa inaangalia mtoto umri wake then kama ni mdogo sana basi itampa mama advantages...
Hapa sawa, lakini unakuta mtu kang'ang'ana "hauendi na mtoto wangu popote" inashangaza sana.
 
Wa wote wawili...

Ila akifikisha miaka 18 sio mali ya mtu,ni mtu binafsi!

Toeni dhana ya kumiliki wanadamu!

Hiyo dhana kuiondoa ni ngumu maana siku zote inaonekana mwanaume ndie anaeendeleza ukoo wake na mwanamke anatumiwa kuendeleza ukoo wa mtu mwingine.

Hii inapelekea mtoto kuonekana ni wa mwanaume zaidi ukiachilia matrelinial societies ambapo kwa bongo zipo chache
 
Lazima ang'ang'anie kwa sababu ni mwanae na wewe ukitaka mng'ang'anie ni mwanao pia.
Hilo neno mwanangu lisikutishe.hata wewe unaweza ukamwita tu.
Utakuwa una gubu wewe maana hata sijaona sababu ya msingi hapo.
 
Bride price/ dowry alilipa nani? Ukoo unatiririka vipi?
 
Upo sahihi

Very correct.

Ila kwa jinsi wanawake wanavyokuja na hivi movements za feminism,mzee,the whole world will be feminine.

Feminism is a big problem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…