Je, mmiliki halali wa Mtoto ni Baba au Mama? Au wote wawili?

Je, mmiliki halali wa Mtoto ni Baba au Mama? Au wote wawili?

Physically na kisheria mtoto ni wa baba ila spiritual mtoto ni wa mama.
 
Kwahiyo aliyelipa mahari ndiye mwenye haki na mtoto?
Vipi wahindi ambao mwanamke ndio analipa?
Mimi nilifikiri tunaongelea sehemu kubwa ya tamaduni za Afrika hususan Tanzania, kama ni mpaka India mimi sijui. Kama kuna wahindi humu watatujuza.

Hata hivyo kuna matriarchal societies in Tanzania kule kusini, na wao sijui. Ila surname ya mtoto inatosha kuonesha nani ndiye mhusika mkuu.
 
Mimi nilifikiri tunaongelea sehemu kubwa ya tamaduni za Afrika hususan Tanzania, kama ni mpaka India mimi sijui. Kama kuna wahindi humu watatujuza. Hata hivyo kuna matriarchal societies in Tanzania kule kusini, na wao sijui.
Ila surname ya mtoto inatosha kuonesha nani ndiye mhusika mkuu.
Mhindi nipo hapa, unasemaje
 
surrogacy is looking more and more attractive. Unataka mtoto bado na child support nikupe
 
Mmiliki atakuwa baba ila mmh au mama au weee unaonaje
 
Habari?

Nauliza hivo kwa sababu nimekuwa nikisikia hizi kauli kutoka kwa wanaume "kama unaondoka nenda lakini usiondoke na MTOTO WANGU" .

Ina maana nyie wanaume ndio wamiliki wa mtoto aliyezaliwa na mama hana haki na huyo mtoto?. Kwanini msiseme "mtoto wetu"?
Inategemea mtoto ana umri gani,kama ana umri miaka 7anaweza ulizwa mtoto aende upande gani
 
Back
Top Bottom