Ukiingiza kadi kwenye atm machine ikatoa pesa je pesa ni za atm au ww ulieingiza iyo kadi?Habari?.
Nauliza hivo kwa sababu nimekuwa nikisikia hizi kauli kutoka kwa wanaume "kama unaondoka nenda lakini usiondoke na MTOTO WANGU" .
Ina maana nyie wanaume ndio wamiliki wa mtoto aliyezaliwa na mama hana haki na huyo mtoto?. Kwanini msiseme "mtoto wetu"?
1. Kama kuna umiliki wa mtoto, then mmiliki wake ni mama kwa sababu mtoto anapozaliwa huwa ameunganika naye kupitia 'umbilical cord' na hutungwa na hukua ndani ya mfuko wa uzazi wa mama na hatimaye huzaliwa naye.Habari?.
Nauliza hivo kwa sababu nimekuwa nikisikia hizi kauli kutoka kwa wanaume "kama unaondoka nenda lakini usiondoke na MTOTO WANGU" .
Ina maana nyie wanaume ndio wamiliki wa mtoto aliyezaliwa na mama hana haki na huyo mtoto?. Kwanini msiseme "mtoto wetu"?
Huu mfano naona siyo kabisa! Ukiingiza kadi kwenye ATM ikitoa pesa, pesa ni zako. Lakini kati ya 'mtu' anayeingiza 'kadi' kwenye 'ATM mashine' na kisha pesa kutoka, mfumo wake siyo sawa na baba na mama kumzaa mtoto. Kwa nini? Kwa sababu siyo wote wanaooana wanabahatika kupata watoto. Uzazi siyo automatic hivyo na kama baba ndiye mwenye mtoto basi angeweza hata kumpata kutoka kwenye jiwe, mti, udongo au hata kutoka kwa kuku, bata, mbuzi, nyati etc.Ukiingiza kadi kwenye atm machine ikatoa pesa je pesa ni za atm au ww ulieingiza iyo kadi?
Mtoto anamilikiwa na wote.Hiyo dhana kuiondoa ni ngumu maana siku zote inaonekana mwanaume ndie anaeendeleza ukoo wake na mwanamke anatumiwa kuendeleza ukoo wa mtu mwingine.
Hii inapelekea mtoto kuonekana ni wa mwanaume zaidi ukiachilia matrelinial societies ambapo kwa bongo zipo chache
[emoji38] [emoji38]Hapa sawa, lakini unakuta mtu kang'ang'ana "hauendi na mtoto wangu popote" inashangaza sana.
Ata kwenye atm sio mara zote pesa itatoka, kuna saa inakataa. Kifupi mtoto ni mali ya babaHuu mfano naona siyo kabisa! Ukiingiza kadi kwenye ATM ikitoa pesa, pesa ni zako. Lakini kati ya 'mtu' anayeingiza 'kadi' kwenye 'ATM mashine' na kisha pesa kutoka, mfumo wake siyo sawa na baba na mama kumzaa mtoto. Kwa nini? Kwa sababu siyo wote wanaooana wanabahatika kupata watoto. Uzazi siyo automatic hivyo na kama baba ndiye mwenye mtoto basi angeweza hata kumpata kutoka kwenye jiwe, mti, udongo au hata kutoka kwa kuku, bata, mbuzi, nyati etc.
Weka pichaMimi ni bondia wa kike. Mwanaume akijikoroga ataamkia ICU.
Kama ni mali ya baba si angempata sehemu yoyote ambayo angeweza kumpata? Kwa nini iwe kwa mwanamke tu? Mtoto ni wa wazazi wote wawili, lakini kama tukisema ni wa mzazi mmojawapo basi ni wa yule anayekaa naye muda mrefu tumboni na pia aliyeunganika naye katika mfumo wa kula na kuvuta hewa akiwa bado hajazaliwa.Ata kwenye atm sio mara zote pesa itatoka, kuna saa inakataa. Kifupi mtoto ni mali ya baba
Kweli haujaona sababu ya msingi?Lazima ang'ang'anie kwa sababu ni mwanae na wewe ukitaka mng'ang'anie ni mwanao pia.
Hilo neno mwanangu lisikutishe.hata wewe unaweza ukamwita tu.
Utakuwa una gubu wewe maana hata sijaona sababu ya msingi hapo.
Yeap mbaya zaidi ni kwa wengine wanaoidaka juu kwa juu pasipo kuelewa ina maana gani !!Upo sahihi
Very correct.
Ila kwa jinsi wanawake wanavyokuja na hivi movements za feminism,mzee,the whole world will be feminine.
Feminism is a big problem!
Hiyo ni kibailojia ila ukirudi kijamii mtoto ni mali ya ukoo wa baba na ndio maana anachukua ubin wa baba yake na hata mwanamke akishaolewa anabadili ubin wake kwenda kwa ukoo wa mwanaume, Hii inaamaanisha kashachukuliwa ili kuendekeza ukoo wa mwanaume hivyo, hata watoto pia inakuwa the same...Mtoto anamilikiwa na wote.
Bila baba na mama kuungana hakuna mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchukua ubin wa baba haimaanishi kwamba mtoto Ni wa Baba pekeyake.Hiyo ni kibailojia ila ukirudi kijamii mtoto ni mali ya ukoo wa baba na ndio maana anachukua ubin wa baba yake na hata mwanamke akishaolewa anabadili ubin wake kwenda kwa ukoo wa mwanaume, Hii inaamaanisha kashachukuliwa ili kuendekeza ukoo wa mwanaume hivyo, hata watoto pia inakuwa the same...
Kama ni mwanae anahaki ya kumuita hivyo hata wewe ukitaka unamuita tu.Kweli haujaona sababu ya msingi?
Inamaanisha nini kwa unavyoelewa AnneKuchukua ubin wa baba haimaanishi kwanza mtoto Ni wa Baba pekeyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke hazai, anayezaa ni mwanamume. Mwanamke hujifungua.Hata wanawake wenyewe husikika wakisema "nimekuzalia mtoto", hapo maana yake mtoto ni wa baba, wao akina mama ni wazaaji tu
Mtoto ni wa wote.Inamaanisha nini kwa unavyoelewa Anne