Mbona hujanijibu nikichokuuliza Anne.. ulisema ubin hauoneshi umiliki wa nikaomba unieleze ubin wa mtoto huwa una maana gani kwa uelewa wakoMtoto ni wa wote.
Angekuwa wa baba tu basi asingekuwa na undugu na mama wala ndugu zake mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jina tu lileMbona hujanijibu nikichokuuliza Anne.. ulisema ubin hauoneshi umiliki wa nikaomba unieleze ubin wa mtoto huwa una maana gani kwa uelewa wako
Mbona serikali haitoi hela ya matumizi kwa ajili ya huyo mtoto?Mtoto ni wa serikali...
Kwahiyo aliyelipa mahari ndiye mwenye haki na mtoto?Bride price/ dowry alilipa nani? Ukoo unatiririka vipi?
Lakini anakuwa ni wanani? Wa baba? Wangu? Au mtoto wetu?Chini ya miaka 7 utabaki nae, juu ya miaka 7 anaondoka na baba
Mnasaidiana kulea.Wewe kuna vitu utampa na serikali kuna huduma itampatia.Mbona serikali haitoi hela ya matumizi kwa ajili ya huyo mtoto?
Mali ya serikali mbona haitoi matunzo, UK kule serikali inawahudumia angalau watoto, wasio na kazi, na walemavuMtoto ni mali ya serikali
Kama ataitwa Salma Sheila definitely ni wako kama ni Salma Omar sio wakoLakini anakuwa ni wanani? Wa baba? Wangu? Au mtoto wetu?
Ubin ni baba kwa sababu baba ni kiongozi wa familia.Ingekuwa ni hivyo bhasi watu wangefanya choice ya ubin aidha utoke kwa mama au baba lakini kama unadhani hivyo then it's ok
Mimi nilifikiri tunaongelea sehemu kubwa ya tamaduni za Afrika hususan Tanzania, kama ni mpaka India mimi sijui. Kama kuna wahindi humu watatujuza.Kwahiyo aliyelipa mahari ndiye mwenye haki na mtoto?
Vipi wahindi ambao mwanamke ndio analipa?
Mhindi nipo hapa, unasemajeMimi nilifikiri tunaongelea sehemu kubwa ya tamaduni za Afrika hususan Tanzania, kama ni mpaka India mimi sijui. Kama kuna wahindi humu watatujuza. Hata hivyo kuna matriarchal societies in Tanzania kule kusini, na wao sijui.
Ila surname ya mtoto inatosha kuonesha nani ndiye mhusika mkuu.
Nani ni head wa household kwenye familia za wahindi ambao wanawake ndio ulipa mahari?Mhindi nipo hapa, unasemaje
Una akili sanaMmmh..si kweli mzee!
Kama huna uwezo wa kulea hicho kiumbe basi huna haki ya kuleta mwanadamu duniani!
Huyo mtoto hana kosa,kosa ni wewe kumleta bila ridhaa yake kuja kuteseka,ni heri usingemzaa!
Inategemea mtoto ana umri gani,kama ana umri miaka 7anaweza ulizwa mtoto aende upande ganiHabari?
Nauliza hivo kwa sababu nimekuwa nikisikia hizi kauli kutoka kwa wanaume "kama unaondoka nenda lakini usiondoke na MTOTO WANGU" .
Ina maana nyie wanaume ndio wamiliki wa mtoto aliyezaliwa na mama hana haki na huyo mtoto?. Kwanini msiseme "mtoto wetu"?