Je mnafahamu kuwa kikwazo kikubwa cha maisha ni wanawake??

JF Premium Member
This message has been deleted by Husninyo.

ulimtukana nani hapo halaf ukadelete?
 
Naona itakuwa ni vizuri sana ukafanya pita pita yako nyingine ambayo itakupa picha halisi ya matatizo ya maisha badala ya hii uliyokuja nayo ambayo haina ukweli wowote.

matatizo ya maisha ni utawala mbovu unaoruhusu mianya ya rushwa,ufisadi,uhujumu uchumi,kutokuwajibika kusimamia rasilimali kwa uadilifu n.k.....na kaizer ni great thinker mzuri labda alimaanisha utawala huu mbovu kwa asilimia zaidi ya 50% umewekwa na wanawake ambao idadi yake ni kubwa kuliko wanamume hapa namtetea...na hayo huwezi kuyajua kwa kupitapita tu labda uende tume ya uchaguzi wakupe takwimu sahihi za wapiga kura.

''I cannot betray it because I was born with it, how I can betray it?''
 
hii sredi imekosa thamani kama dola za zimbabwe.


thamani ipo labda tatizo ...have you thought greatly? na kama ndiyo wapi ulipofikiria kwa kina.

''I cannot agree to die with the truth''.... hata kama ukweli nimezaliwa nao.
 
thamani ipo labda tatizo ...have you thought greatly? na kama ndiyo wapi ulipofikiria kwa kina.

''I cannot agree to die with the truth''.... hata kama ukweli nimezaliwa nao.
dah! mkuu ni lawyer wa kakakiiza nini? anaweza akawa na "right message" lakini "wrong lingustic approach" , labda nikuulize wewe have u thought greatly?
 
yp wanawake ukawaendekeza,unakufa maskini!! we men need to control ouslf.
 
Sijui kama uliposema haya ulisahau kuwa umezaliwa. Naamini aliyekuzaa atayajuwa haya unayosema, kama si kwa kusoma hapa kwa kusoma nia yako moyoni. Naamini pia, yeye kama mama atakulaani (ikiwa bado hajafanya hivyo), vivyo hivyo wamama wengine na wanawake wote watakulaani. Bado adhabu ya Mungu anayetusisitiza tuwajali, tuwaheshimu na tuwatii mama zetu. Umewahi kusikia wewe kuwa Pepo ya mwana iko chini ya miguu ya mama yake?

Ninakusikitikia ndugu yangu, umekosa radhi za mama, sijui mwisho wako utakuwa vipi. Pengine ukitubu moyoni, urudi kwa Muumba wako na kutoa tamko la wazi jukwaani unaweza kunusurika.
 
bangi zinakusumbua mtoa mada, hamieni mnakojua mkatajirike mpate maendeleo mnayotaka
 
hii sredi imekosa thamani kama dola za zimbabwe.

Kamanda,
dola la mugabe mbona bado dili, hili sredi ina harufu mbaya kuliko hata kinyesi cha mgonjwa anaeharisha
 
msiwe mnaingia jf mkiwa mmeshakunywa mataputapu.....

upuuzi mtupu......

this world means nothin without womens..............

Na supu za utumbo wa kuku ndo anaingia humu puuuumba tupu zimemwagwa humu leo
 

BAK mie naona alikuwa na mnazi kichwani ndo kaingia humu.

Hivi KK huna Mama, Dada, Mke, Shangazi na watoto wa kike?? Umenishangaza sana katika hili nimejikuta nakutukana pasipokutarajia akkhhh
 

nilizoea kuona uchambuzi makini hapa JF, leo nimejionea UCHIMBUZI MAKIN
ngoja niwahi Church
 
Kwa kusema ukweli wangu nyie mmeamua kuniweka msalabani??
*Wanawake bila ya kujalisha mmetuzaa lakini nyie mpo nyuma ya matatizo mengi tunayoyaona hapa duniani!naanza na nchi jirani hamkuona fesiti ledi anayumbisha nchi?anapiga hovyo waandishi vunja mastudio????je huyo anawakilisha wanawake wangapi???
*Je hapa kwetu viongozi waliokamatwa na wanawake wakule kaskazini simliona walichokifanya??je H.Kitinne alijiudhuru kwa sababu gani??kwanini tusiwalaum wanawake??
*Je hapa fesiti led hamkuona alivyo sababisha malizetu kukwapuliwa???kama vile hazina mwenyewe?je anawakilisha wanawake wangapi???
*Hapo Zambia mwanamke wa chiluba mliona alichokifanya ktk nchi ile sina chakuelezea!!!
*Pale SouthAfrica Winnie Mandela alifanya nini??
*Uganda festi ledi alimlazimisha mumewe amuweke katika kabineti yake ya mawaziri je huyo mama anawakilisha wanawake wangapi??
*Haya turudi hapa kwa Waziri wa wanawake hapo sina chakusema nadhani mnajua wenyewe!!
*NAWASHUKURU WOTE MLIONIBEZA KWANJIA MOJA AU NYINGINE NI UHURU WA MAWAZO MLITAKIWA MUWETOFAUTI NAMIMI KWA HOJA SI KWA KUNITUSI NA KUNIKASHIFU LAKINI NITASIMAMA KWENYE UKWELI MATATIZO MENGI WANASABABISHA WANAWAKE!!
 


Hayo maneno kaanze kumwambia Mama yako mzazi, dada yako, Mkeo, shangazi zako wote, ukimalizia na Bibi yako.

Ukishawaambia hao wote ndo urudi kutuambia na sisi.

Siku njema KK
 
Hayo maneno kaanze kumwambia Mama yako mzazi, dada yako, Mkeo, shangazi zako wote, ukimalizia na Bibi yako.
Ukishawaambia hao wote ndo urudi kutuambia na sisi.
Siku njema KK
Wanawake wote na wewe japo nimekuletea chumbani!Pole Dena Amsi
 
Mkuu mbona unawalaumu wakat ndio wanasababisha tufanye kaz kwa bidii tunapata mshko wk end tunawapalekea!
kwa hio mzigo tupige sisi wao wasubirie tu kupelekewa mbona unasapoti mada indirect way......................
 
Ndiyo balaa la kutaka kusema wakati huna la maana la kuongea, mwisho wake mtu anajikuta anaingia matatizoni hivi hivi. Bora unyamaze kuliko kujiforce. Leo yamekutokea humu, ole wako yakukute live, utakiona (labda uwe huko sawa). Na humu hakuna ulazima wa kuweka thread. Hivyo sometime baki kimya tu
NI MTAZAMO TU
 
Hivi kumbe ae


Nadhani ingekuwa si wanaume hao wanawake wasingekuwepo..
so we should stop bleming each other
 
Bila Adam Eva hawezi kuwepo, Bila Eva Adamu hawezi kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…