Wanawake wote na wewe japo nimekuletea chumbani!Pole Dena Amsi
Watu hamjamuelewa KakaKiiza, ukweli wanawake ndio chanzo cha matatizo katika nchi, hasa Tanzania. Kwanza ndio walioiweka CCM madarakani maana hawaelewi kwa urahisi (wagumu kuelewa soma), tazama Mama Salma alivyofanya kipindi cha kampeni. Angalia mawaziri wanawake wanachofanya. Kama katika kila maendeleo mwanamke yupo basi sisi wanawake ndio waliotufikisha hapa.
Atiiiiii??????/
Ndio acha kushangaa, wanawake ndio mlioifikisha nchi hapa ilipo tena nasema kwa herufi kubwa NYINYI NDIO SABABU YA HAYA YOTE TZ, nyinyi mnapenda amani hata kama inawaua
Nahitaji maombi yako kwa ukaribu zaidi nazaidi ukiwa umeniwekea mikonoyako kichwani mwangu!!!Fanya hivyokwa msaada wa watu wa jf!KK unajua unaendelea kunikwaza na Jumapili yote hii changanya na Kwaresma kwanini lakini KK???? Mie nakusamehe saba mara sabini yaweza kuwa ni shetani kakutembelea na umeshindwa kumkwepa.
Hawajui kamawao ndiyo chanzo nimewapa mifano michache na kama umechunguza kuna vitu vingi vimetendeka na kuleta maafa makubwa sababu wanawake hata katika jamii utasikia yani kamasiyule mwanamke maisha yake yangekuwa mbali!Watu hamjamuelewa KakaKiiza, ukweli wanawake ndio chanzo cha matatizo katika nchi, hasa Tanzania. Kwanza ndio walioiweka CCM madarakani maana hawaelewi kwa urahisi (wagumu kuelewa somo), tazama Mama Salma alivyofanya kipindi cha kampeni. Angalia mawaziri wanawake wanachofanya. Kama katika kila maendeleo mwanamke yupo basi sisi wanawake ndio waliotufikisha hapa.
Katoe hang'over ndo urudi hapa naona mataputapu bado yako kichwani wewe
matatizo yote ya maisha wanao sababisha ni wanawake!!Kwani wanawake bila ya kujalisha aliyeolewa na ambaye ajaolewa wote ndiyo wanaosababisha ugumu wa maisha
Nahitaji maombi yako kwa ukaribu zaidi nazaidi ukiwa umeniwekea mikonoyako kichwani mwangu!!!Fanya hivyokwa msaada wa watu wa jf!
utake au usitake huo ndio ukweli hata kama unauma. Mwanamke angeelimika na kuacha misimamo yao ya kuipenda CCM leo tusingekuwa hapa. Tazama wale kinamama wanavyolia kule Chanika baada ya kuvunjiwa nyumba zao na mashamba kuchomwa moto, waulize sasa walichagua chama gani?
Kakakiiza
Hivi unafahamu kwamba bila wanawake hata wewe usingeweza kuandika hii sredi???
Hivi unafahamu bila wanawake hakuna kiumbe kitakachoitwa MWANAUME??
Hivi kweli unathubutu kumwambia mama yako mzazi kwamba kukulea kwake tumboni miezi 9, akunyonyeshe, akutunze, akulinde, akupeleke hospitali kila ukiumwa yote hayo ni kukuletea matatizo maisha yako???
Kakakiiza
Kweli unaweza ukamtukana mama yako mzazi matusi ya nguoni namna hii??
Kweli unaweza ukamfananisha mama ako na fisadi RA????
Kweli wewe unaetamka haya maneno umezaliwa na mwanmke??? Au mwenzetu ulizaliwa na kiumbe tofauti???
Kweli unathubutu kumtukana hadi Muumba wako na kuidharau kazi yake aliyoifanya kuumba mwanamke???
Ndugu, kesho ni Jumapili, siku takatifu kwa wakristo duniani, nenda katubu kabla hujawa KichaaKiiza
Na uwaombe Mods waifute hii sredi yako haraka hapa MMU
Ndiyo balaa la kutaka kusema wakati huna la maana la kuongea, mwisho wake mtu anajikuta anaingia matatizoni hivi hivi. Bora unyamaze kuliko kujiforce. Leo yamekutokea humu, ole wako yakukute live, utakiona (labda uwe huko sawa). Na humu hakuna ulazima wa kuweka thread. Hivyo sometime baki kimya tu
NI MTAZAMO TU
Mungu akusamehe tu, nitakuombea wakati huu wa kwaresma