Je, mnakubaliana na Mwamposa?

Je, mnakubaliana na Mwamposa?

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
253
Reaction score
302
Ndugu msomaji wasaaalaam [emoji120][emoji120][emoji120]

Naombe niombe radhi kua kichwa cha habari na maudhui yatakayopatikana hapa hayana uhusiano wowote ule[emoji16][emoji16][emoji16]. hata mimi nasikitika kwa hilo.

Awali ya yote naitwa msukule mzembe mtoto wa kwanza katika familia yetu ya watoto 13. mimi ndo ninayetegemewa na ndugu zangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Katika pita pita zangu kwenyebTV nikaona ushuhuda wa mwanamke anasema alikunywa mafuta akalala baada ya kuamka akakutana na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kiarabu na nyoka mdogo aina ya Black Mamba

Sasa mimi nimetimbwa na matatizo. naombeni mawazo mliowahi kutumia mafuta ya mwamposa je yanatibu kweli au uongo.

Nawasilisha...................

Na switch off [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
Na ndio hayo yamekutoa jela Kuna ndugu zako waliyanunua!
 
yaan umeandika mpo 13 afu we ndo unategemewa hadi mwenyewe umejicheka🤣🤣🤣
 
Mwana kulitaka,,,,, rudi jela msukule vinginevyo utajuta kwa nini ulitoka huko, yaani una anzisha uzi wa kumkejeri mtiwa mafuta wa Bwana!

Ole wako usipojirudisha huko jera
 
Mwamposa ni Agent wa shetani.
ukitaka utatuzi wa matatizo yako, kashike biblia usome mwenyewe na ufanye maombi mwenyewe.. Watumishi wa uwongo ni wengi sana nyakati hizi..

kumjua nabii wa kweli, tayar utakua na wewe ni mtumishi wa Mungu kweli kweli.. ndio utawajua. ila ukiwa kondoo ni Ngumu sana kuelewa haya mambo.
 
Ila comments zimenichekesha sana
Kama una matatizo muombe Mungu kwa Imani bila kujali mafuta na maji ya mwamposa
 
Back
Top Bottom