M Mwalihehe JF-Expert Member Joined Mar 11, 2023 Posts 426 Reaction score 888 Mar 8, 2024 #1 Leo yanga anakutana na namungo. Swali hao wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi leo, haitakuwa majanga kama yaliyo wakuta Simba Morogoro?
Leo yanga anakutana na namungo. Swali hao wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi leo, haitakuwa majanga kama yaliyo wakuta Simba Morogoro?
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Mar 8, 2024 #2 Kikosi kipana.