Je modern farms zinafananaje? Hiki ndo nilicho jifunza!

Joined
Mar 21, 2024
Posts
36
Reaction score
73
Binafsi huwa najiuliza ni kwanini mashamba makubwa yanafanya vizuri sana. Ninapogusia mashamba makubwa ninamaanisha mashamba ya kisasa. Nimekuwa nikifanya study juu ya makala za kilimo, kuona baadhi ya mashamba wanavyo fanya kazi, na haya ndio mambo ya msingi niliojifunza.

1. Maabara ya shamba, shamba la kisasa huwa na maabara. Maabara ni sehemu ya kufanya uchunguzi wa kitaalamu ili kufahamu changamoto inayosumbua hapo shambani mfano kuna ugonjwa katika mazao au mifugo basi maabara inakazi ya kufanya vipimo. Lakini hata kupima udongo ni muhimu sana na maabara ndio kazi yake.

2. Nyumba, sasa hapa watanzania ndio wameanza kidogo kuamka. Lakini kuna shida kubwa sana ya makazi. Kama mkulima anataka kujenga uwezo wa kuzalisha shambani inafaa sana kama atajenga nyumba kwenye shamba lake walau ahakikishe kuna nyumba yake na ya vijana anaofanya nao kazi.

3. Energy. Hapa sasa pia ni muhimu hatuwezi kuliita shamba ni la kisasa bila umeme. Muda mwingine ni ngumu kufunga umeme kwa sababu hakuna means ya moja kwa moja. Lakini kama unaiwezo wa kufunga umeme funga itakusaidia sana hasa kama unataka kumiliki poultry farms.

4. Manpower, hii ni muhimu sana kwa mtu mwenye nia ya kuwa na big shamba. Bila vijana ni ngumu sana kutoboa. Hakikisha kwenye paper work yako unafanya juu chini ili kuweza kutimiza malengo.

5. Vifaa, hapa inategemea sana ni aina gani ya vifaa unahitaji kuanzisha shamba lako. Mfano ukiwa unafanya kilimo cha nafaka aitomatically tractors, combine harvestors zitahitajika.

6. Elimu, huwezi run shamba la kisasa then utarajie kuwa na upungufu wa elimu. Ni vizuri kujua na kufahamu kitu unachozalisha kwanza.

Baada ya kueleza haya, tunaposema modern farm si ukubwa wa shamba,nope maana kuna watu wana mashamba makubwa ila output ni kidogo.

Have a nice day!!!
 
Sawa mkuu!
 
umesahau MITAJI (CAPITAL) na assets za kukopea pesa benki ili kuendesha mashamba
 
Back
Top Bottom