Hao makocha wote ni agents wa kjuuza wachezaji makapi Africa. Wote wanajuana na wapo kwenye mtandao mmoja.
Angalia historia zao utanielewa.
Sven yupo tofauti, ni kocha anayejenga CV yake. Yanga inahitaji kocha kama Sven
Yanga pia inahitaji wachezaji wengi wa ndani ambao ni bora. Na wachache kutoka nje.
Wachezaji wa nje wawe labda watano tu, ila wakali. Kuliko kumi magarasa.