Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
- Thread starter
- #41
DNA je?Hakuna cha ushahidi, ndugu wa marehemu wanatakiwa wawe wanawatambua, ikiwa hivyo watawaingiza kwenye orodha ya wanaotakiwa kupata urithi wa marehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DNA je?Hakuna cha ushahidi, ndugu wa marehemu wanatakiwa wawe wanawatambua, ikiwa hivyo watawaingiza kwenye orodha ya wanaotakiwa kupata urithi wa marehemu.
DNA je?
WatanganyikaKabila gani hao wanaodai undugu kwa DNA?
Watanganyika
Hapana Mzee sio mimiumearibu nini mzee
KipoHakuna kitu kama hicho.
Kwahiyo Mama wa watoto hana haki ya kumtaja baba wa watoto wake mpaka aamue baba ?Kwa mtu mwenye tabia ya umalaya anakuwa na watoto ambao wengi hawajulikani nani mzazi mwenza. Ni vizuri kuacha tabia hiyo.
Ila mimi ninachotaka kusema, kwa waafrika ni mpaka awepo mdai wa kuwa hawa watoto ni wangu au ni wako ndiyo inapalekwa kisheria na vipimo vya DNA kutumika.
Na katika mila za waafrika wengi kama mzazi wa kiume anakufa wakati hajawatambulisha watoto wa mwanamke ambaye hajafunga naye ndoa ya kimila, serikali au dini hao watoto hawatatambulika na upande wa mume. Hao watoto watakuwa kama wa beberu la jirani lililopita na kukutilia mbegu kwenye zizi lako, wanambuzi watakaozaliwa ni wako.
Kivipi?Unataka watoto wako wakaishi wapi? Hiyo tabia ya kutelekeza watoto inabidi tuipinge kwa nguvu zote.
Kwahiyo Mama wa watoto hana haki ya kumtaja baba wa watoto wake mpaka aamue baba ?
Hasemi alikuwa mumewe anasema alikuwa mzazi mwenzie,na ukiangalia watoto na baba yao kama dagaa vile(kufanana)Asubiri mume afe ndiya adai huyu alikuwa mume wangu, inaleta shida! Anatakiwa ajitokeze mume akiwa hai.
Kijamii atakuwa ana haki ya kuishi hapo, endapo atakutana na ndugu wastaarabu wenye utu.
Ok nimekusoma,kwa maana hiyo Sheria haina msaada wowote ,kuendelea au kutoendelea kukaa pale kutategemeana na busara za ndugu wa marehemuBandu Ncheche, hili ndiyo jibu sahihi, kama ndugu wakikosa ustaarabu hakai kabisa kwa mujibu wa jamii zetu.
Mama mmoja kule kijijini kwetu alifiwa na mkaza mwanae kwa ngoma enzi zile, baadaye akafiwa na mwanae yule aliyefiwa na mke.
Yule bibi alilia sana akasema kama angesikia kuwa mwanae ameringa mimba mwanamke yeyote angeenda kumkomboa, lakini haikuwa.
Sasa huyu angekuwa ndiyo huyo unayesema kusingekuwa na shida.