TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Habari wadau!
Kuna SMS tunapokea kwenye simu zetu toka TCRA zinasema kwamba kuanzia sikutajwa hapo juu namba zitakazosajiliwa zitakuwa na namba ya siri ambayo ukizima simu ili kuwasha utahitaji kuingiza namba ya siri. Hili lipoje?
Je, ndio litasaidia simu zetu zisiibiwe? Au ndio litakuwa linadhibiti taarifa zetu zisivuje kwa watu wabaya?