TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Hiyo ni tafsiri ya lugha ya mabeberu nadhani,nisaidie kiswahili cha PUK au PIN?Nadhani ni PIN. Ulikosea mara kadhaa itabidi uweke PUK
Hiyo ni tafsiri ya lugha ya mabeberu nadhani,nisaidie kiswahili cha PUK au PIN?
Namaanisha PUK ni Personal Unlock Key je kwa kiswahili inaitwaje ,hapo umeandika insha tu.πππKitufe cha kufungulia kibinafsi, wakati mwingine huitwa nambari ya kufungulia ya kibinafsi, hutumiwa katika simu za rununu za 3GPP kuweka nambari ya kitambulisho ya kibinafsi ambayo imepotea au kusahaulika. Simu nyingi za rununu hutoa huduma ya ulinzi wa PIN.
Umeelewa au niongeze sauti? ππ
View attachment 1744858
Kitufe cha kufungulia kibinafsi ππNamaanisha PUK ni Personal Unlock Key je kwa kiswahili inaitwaje ,hapo umeandika insha tu.πππ
NywiraNamaanisha PUK ni Personal Unlock Key je kwa kiswahili inaitwaje ,hapo umeandika insha tu.πππ
Sawa sawa mkuuNywira