Je, Mpanzu ni Mutale aliyechangamka?

Je, Mpanzu ni Mutale aliyechangamka?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Vua maski kaka tushakujua wew ni Joshua Mutale Elie Mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28]

Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost. .makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but what happened...Kila mmoja anaona...

NB Bora Mutale kuliko Mpanzu ....takwimu hazidanganyi[emoji23][emoji23]
Mbombo ngafu
1737376549943.jpg
 
Nahisi Tanzania Ndio Inavijana Wajinga kuliko taifa lolote.
Huyu Mpanzu Jana Ndio Kawezesha Goli la Kuleta Matumain na Kutuliza Presha Za Watu Leo unaona sio kitu!
Hao Unao waona Wamaana Nini wamefanya !?
Chama kafanyaje Toka kafika huko!
Boka Anakimbia Kama Ndege Mwarabu Kakatwa Mdomo📍
 
Boka Anakimbia Kama Ndege Mwarabu Kakatwa Mdomo[emoji625]
Hapana mkuu.... stick to the topic....tunamzungumzia mpanzu
 
Nahisi Tanzania Ndio Inavijana Wajinga kuliko taifa lolote.
Huyu Mpanzu Jana Ndio Kawezesha Goli la Kuleta Matumain na Kutuliza Presha Za Watu Leo unaona sio kitu!
Hao Unao waona Wamaana Nini wamefanya !?
Chama kafanyaje Toka kafika huko!
Boka Anakimbia Kama Ndege Mwarabu Kakatwa Mdomo📍
[/QUOTE
Chama ndo alipiga ule mshuti hadi chizi Kijili akajifunga
 
Vua maski kaka tushakujua wew ni joshua mutale elie mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28]

Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost......makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but what happened...Kila mmoja anaona...

NB Bora mutale kuliko mpanzu ....takwimu hazidanganyi[emoji23][emoji23]
Mbombo ngafu View attachment 3207410
Ndugu yangu privadinho Umepata wapi ujasiri wa kumuongelea mpanzu? Wenzako wote wanalia ila wewe upo mitandaoni, wewe ni uto au ni simba?
 
Vua maski kaka tushakujua wew ni joshua mutale elie mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28]

Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost......makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but what happened...Kila mmoja anaona...

NB Bora mutale kuliko mpanzu ....takwimu hazidanganyi[emoji23][emoji23]
Mbombo ngafu View attachment 3207410
Alivyokuwa anasifiwa mpaka kocha akasema anashindwa ampange nafasi Gani kwa ubora wake,,lakini kinachotokea ni vitu viwili tofauti,,wachezaji aina ya mpanzu wamejaa Tanzania sioni tofauti yake na wakina offen chikola,,kiufupi ni Mutale aliyechangamka ni machachari na sio hatari!
 
Tulikuwa mpaka hatulali usingiz
 
Back
Top Bottom