Wapo, kuna matajiri wanaishi na wake zao na bado wanagongewa.Inategemea na akaunti yako ya benki, kama kuna heavy investment uliacha, atakusubiri hata miaka mitano.
Kugongewa mbona liko wazi hili.Wapo, kuna matajiri wanaishi na wake zao na bado wanagongewa.
Hayana mwongozo.
Wengi wanaweza beza comment yako ila hii fact.Inategemea na akaunti yako ya benki, kama kuna heavy investment uliacha, atakusubiri hata miaka mitano.
Wasipoelewa hapa, hatuwaeleweshi tena 😂.Wengi wanaweza beza comment yako ila hii fact.
motivation ya mwanamke katika mahusiano siku zote ni vitu vya kushikika na sio hisia😁😁
Hufanya hisia pekee pale vitu vyako vya kushikika vikigusa moyo wake.
Kwani unategemea kufungwa miaka mingapi?Mawardat umeona mapendo hayo? Vp utaweza vumilia?
Nataka nikimbilie congo kusaka almasi kama stamina.Kwani unategemea kufungwa miaka mingapi?
Au ndiyo wewe umeoa kabinti na unadhani Daktari Gwajima akikuzukia miaka 30 huiponiNataka nikimbilie congo kusaka almasi kama stamina.
Tatizo kubwa ni ile dhana ya Bikra. Kiukweli kulala na hako katoto licha ya kukaumiza, unaenjoy nini? Ubakaji tuWanaume baadhi hawana akili....
Au ndiyo wewe umeoa kabinti na unadhani Daktari Gwajima akikuzukia miaka 30 huiponi
Tatizo kubwa ni ile dhana ya Bikra. Kiukweli kulala na hako katoto licha ya kukaumiza, unaenjoy nini? Ubakaji tuWanaume baadhi hawana akili....
That p*ssy has already been around different d*cksMwanamke mmoja amegusa nyoyo za watu baada ya kuonyesha uvumilivu na mapenzi ya dhati kwa kumsubiri mpenzi wake kwa muda wa miaka miwili hadi walipokutana tena nchini Macedonia.
Wawili hao walitengana baada ya mwanaume huyo kuhukumiwa kifungo cha gerezani. Baada ya kumaliza kifungo chake, wawili hao walikutana tena, huku furaha ikitawala baada ya kuwa mbali kwa muda mrefu.
Tukio hilo limezua hisia mbalimbali mitandaoni, ambapo wanamtandao wamempongeza mwanamke huyo kwa uvumilivu, upendo na kujali alikomuonyesha mpenzi wake licha ya changamoto walizopitia.