Je, mpenzi wako anaweza kukusuburi kwa miaka 2?

Mwanamke mmoja amegusa nyoyo za watu baada ya kuonyesha uvumilivu na mapenzi ya dhati kwa kumsubiri mpenzi wake kwa muda wa miaka miwili hadi walipokutana tena nchini Macedonia.

Wawili hao walitengana baada ya mwanaume huyo kuhukumiwa kifungo cha gerezani. Baada ya kumaliza kifungo chake, wawili hao walikutana tena, huku furaha ikitawala baada ya kuwa mbali kwa muda mrefu.

Tukio hilo limezua hisia mbalimbali mitandaoni, ambapo wanamtandao wamempongeza mwanamke huyo kwa uvumilivu, upendo na kujali alikomuonyesha mpenzi wake licha ya changamoto walizopitia.

Tuliowahi kusubiriwa miaka mitano tuna-comment wapi? Miaka miwili ni kitu kidogo sana unless kama mwanamke wako naturally ni whore.
 
Kibongobongo mijanajike yetu inawaza ngono muda wote..haina huo uvumilivu.
 
Mwanamke mmoja amegusa nyoyo za watu baada ya kuonyesha uvumilivu na mapenzi ya dhati kwa kumsubiri mpenzi wake kwa muda wa miaka miwili hadi walipokutana tena nchini Macedonia.

Wawili hao walitengana baada ya mwanaume huyo kuhukumiwa kifungo cha gerezani. Baada ya kumaliza kifungo chake, wawili hao walikutana tena, huku furaha ikitawala baada ya kuwa mbali kwa muda mrefu.

Tukio hilo limezua hisia mbalimbali mitandaoni, ambapo wanamtandao wamempongeza mwanamke huyo kwa uvumilivu, upendo na kujali alikomuonyesha mpenzi wake licha ya changamoto walizopitia.

1/1000
 
Back
Top Bottom