Naomba maelezo mkuu ni goal kwa kifungu gan cha zile sheria 17 za mpira?
GoodScenario 4;
Timu inashambulia
1) Suarez anarusha kwenye 18 ya Madrid,hakuna aliyegusa. Mpira unaingia golini.
Maamuzi: sio goal,Goal kick. Madrid wapige
2)Suarez anarusha kwenye 18 ya Madrid. Kipa kaugusa,ukamshinda,ukaingia golini
Maamuzi:Goal. Mpira kati ya uwanja
Timu inajilinda. Mpira uko kwenye nusu yao
3)Gerrad pique anamrushia kipa wake au mwenzie aliye karibu Na goal la Barca. Mpira hajagusa MTU,unaingia golini.
Maamuzi: corner. Madrid wanakuja kupiga.
4)Gerrad Pique anarusha kwa kipa wake au MTU mwenzie wa Barca. Kipa kaugusa,ukajaa wavuni
Maamuzi. Goal. Mpira kati
Mpira wa kurushwa kuelekea golini usipoguswa ukiingia golini. Assume umetoka nje ya goli pembeni au juu. Ndio maamuzi yafuate.
Hakuna goal linafungwa kwa THROW IN bila kuguswa.
SHERIA NAMBA 15 KATIKA ZILE 17
Mpira wa kurushwa in fact ukishaanza kuja haujalishi origin kwenye consequences zitakazotoea kuamua impact. Hili inakuwa goli na mfungaji ni aliyerusha. Mpira wa kurushwa ni halali kwa mantiki yake. Ikiwa hivi kuwa tujali na kuheshimu taratibu za mpira basi mpira wa kichwa golini usingekuwa goli hadi iwe kwa mguu peke yake. Nawasilisha!
Goli mkuu, kuna mechi ilikuwa msimu wa 2003 Birmingham City na Charlton Athletic, Charlton walipata goli baada ya beki wa Birmingham kumrushia kipa mpira na akashindwa kuzuia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gerrad pique anamrushia kipa wake au mwenzie aliye karibu Na goal la Barca. Mpira hajagusa MTU, unaingia golini.
Maamuzi: corner. Madrid wanakuja kupiga.
Goli lakini mfungaji Ni yule alieuelekeza golini kabla ya mkono,by the way goli lolote la mkono halikubaliki kwa sheria za sasa,