Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Kuna hela wanaisikilizia ikisoma tu wanaendelea na kaziMiezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.Au Kuna changamoto ambazo zimejitokeza katika kutekeleza mradi huo.
Mungu aisaidie Nchi ya TanzaniaDeficit of grants and funds
haaahKuna hela wanaisikilizia ikisoma tu wanaendelea na kazi
Basi hali itakuwa mbaya zaidiNdiyo imesimama.miradi mingi tu imesimama Mfano meli ya mv mwanza imesimama,daraja la kigogo busisi limesimaa,sgr kipande Cha singida tabora kimesimama,Bomba la mafuta hoima(Uganda) Hadi Tanga limesimama n.k.the country is bankrupt under madam president.
HAAAH Nchi inakosaje HelaNchi haina hela.
Ndo kama hapa mzee masta,salio ni ziro ziro.HAAAH Nchi inakosaje Hela
Kuna mtu anaweza kutusaidia kuthibitisha hili? na picha kama inawezekana?Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.Au Kuna changamoto ambazo zimejitokeza katika kutekeleza mradi huo.
Gharama ya Isaka–Mwanza ni $1.3 billion. Nilidhani huo mkopo tulipata muda kitambo kutoka Exim Bank China ndo maana mradi ulishaanza.Tunasubiri serikali ya China itupe mkopo... Miradi ni mikubwa kuliko hata makusanyo ya ndani...TRC wakiambiwa hivyo vicollection vyao vya Dar Dodoma wamalizie mradi hawataweza hata Km 100
Mradi haupo 0% upo kwenye completion stage maana electrification ni kazi ya Tanesco...so sahivi wapo kwenye kujenga stations na hela ziliishia huko...kimbembe kipo kipande cha Tabora na KG ambacho hakijatandikwa mataruma bado...ila tayari kuna makubaliano China watamalizia mradi wote ...(Watatoa mkopo) Sisi tutawalipa kwa installments.Gharama ya Isaka–Mwanza ni $1.3 billion. Nilidhani huo mkopo tulipata muda kitambo kutoka Exim Bank China ndo maana mradi ulishaanza.
Imekuwaje wamesitisha kutoa pesa baada ya mradi kuanza.
Nlidhani pesa ambayo haikuwa na uhakika ni ya Lot 6 Tabora-Kigoma. (Cost $2.7 billion ). Labda Wachina wameamua kufanya more dule diligence baada ya kuona ukubwa wa mkopo mzima umeongezeka.
Sipingi unachokisema, natafuta ufafanuzi maana nashindwa kuupata kutoka kwa vyanzo rasmi.
Mradi haupo 0% upo kwenye completion stage maana electrification ni kazi ya Tanesco...so sahivi wapo kwenye kujenga stations na hela ziliishia huko...kimbembe kipo kipande cha Tabora na KG ambacho hakijatandikwa mataruma bado...ila tayari kuna makubaliano China watamalizia mradi wote ...(Watatoa mkopo) Sisi tutawalipa kwa installments.
Kwa hiyo tatizo ni Tanesco basi. Wafunge umeme ili CCECC & CRCC wandelee na kazi. Sio?Mradi haupo 0% upo kwenye completion stage maana electrification ni kazi ya Tanesco...so sahivi wapo kwenye kujenga stations na hela ziliishia huko...kimbembe kipo kipande cha Tabora na KG ambacho hakijatandikwa mataruma bado...ila tayari kuna makubaliano China watamalizia mradi wote ...(Watatoa mkopo) Sisi tutawalipa kwa installments.
Sasa mkuu wa electrify kipande cha Isaka mwanza halafu treni iende wapi ? Mwendazake alikufa na hesabu zake maana badala ya kujenga kipande cha Mwanza bora wangejenga kipande cha Dom-Singida..Treni zingeanzia Dar mpaka Singida...sasa sahivi lazima wasubiri connection kutoka Dom ndio hiyo ya Isaka ije ianze kazi...ila yote walifanya kisiasa kuchota kura za mamilioni ya wasukuma.Kwa hiyo tatizo ni Tanesco basi. Wafunge umeme ili CCECC & CRCC wandelee na kazi. Sio?
Pesa ya electrification haijumuishi huo mkopo wa $1.3 billion, inadibi tutafute kwingine?