Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.
Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.
Au Kuna changamoto ambazo zimejitokeza katika kutekeleza mradi huo.