Je, msamaha wa Rais Magufuli kwa DED wa Kahama umewaponya Wakurugenzi wote walionunua magari ya Tsh 460 milioni?

Wanasifa kama zake na tabia
 
Wanasemaga "bahati ya mwenzio isikufanye ulale mpango wazi..." Huo sio msamaha wa jumla, usitake kuanza kujifariji! Magu alikuwa 'very specific' wa kahama!
 
Ukweli ni kwamba hakuwa na makosa maana mchakato ulifuatwa alikuwa katolewa kafara kwa mileage za kisiasa na aliyezianzisha ndye huyo aliyemrudisha.

Kuna wengine wanasamehewa na wengine wanatumbuliwa.
 
Ukweli ni kwamba hakuwa na makosa maana mchakato ulifuatwa alikuwa katolewa kafara kwa mileage za kisiasa na aliyezianzisha ndye huyo aliyemrudisha.

Kuna wengine wanasamehewa na wengine wanatumbuliwa.
Aliyeanzisha mambo ya V8 ni mbunge Musukuma wa Geita vijijini
 
Aliyeanzisha mambo ya V8 ni mbunge Musukuma wa Geita vijijini
Aliyemwambia waziri achukue hatua ni nani? Kwani mambo managapi uwa yanasemwa anafumbia macho na kuziba masikio? Lakini hili ametembea nalo na mwisho kamrudisha.
Ila ukweli huyo mkurugenzi hakuwa na kosa kama waliona gari halifai basi wasingempa kibali.
Wanasiasa bwana wanajua kucheza na akili za wadanganyika.
 
Wakati anaagiza aondolewe alifoka sana kuonesha ulifanyika ubadhilifu mkubwa sana![emoji35]

Wakati anamrudishia hilo gari ameonesha ni kakosa kadogo sana,[emoji847]

INATEGEMEA KAAMKAJE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…